Woman love Risk Takers

Woman love Risk Takers

souljar

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
855
Reaction score
1,850
It's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and the rewards you have reaped.

Always have some Risk
Live your life with at least a little risk as a permanent fixture. Perhaps that is starting a business, approaching attractive women or accepting above average risk on some other venture.

You should get a buzz from this level of risk.

Great evening Comrades!!
 
Upuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
Umeelewa lakini? Punguza hasira za maisha kijana. Hamna kulipo semwa urisk sababu ya mwanamke, kama maisha yako kila siku sio risk basi hauna unachofanya katika maisha yako
 
Nionyeshe hiyo pisi kali ambayo naweza kujilipua kuvamia benki nipate mapene ya kuiridhisha, au ni wewe mwenyewe......
Hahahaha!! Tatizo nishajua liko kwenye uelewa wako, unatambua unapotoka asubuhi nyumbani kwako ni risk tosha je unavoweka shilling laki 5 ukitegemea kupata 1M ni risk pia lakini kila mwanamke kuna aina anapenda ya risk mwanaume afanye
 
It's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and the rewards you have reaped.

Always have some Risk
Live your life with at least a little risk as a permanent fixture. Perhaps that is starting a business, approaching attractive women or accepting above average risk on some other venture.

You should get a buzz from this level of risk.

Great evening Comrades!!
Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu!😅

Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
 
Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu![emoji28]

Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
Tatizo ni Lugha au? Wapi kumesema uchukue risk sababu ya demu? Kama hujui kutafuta hela ni risk ilo la kufanya sababu ya mwanamke ni maamuzi binafsi sio content yangu
 
Sawa braza, kila mtu ana take risk so sio issue it has no connection na demu
 
Mkuu nipo na wewe, usipokuwa makini na hawa wanawake utawaabudu kama mtoa mada anavyofanya sasa hivi
Wapi nimeonyesha kuwaabudu? Acha uoga wa maisha kijana kwa mwanaume lazima urisk ata sababu ya familia yako kama hauna sababu ya kurisk kisa unafikiri unamfanyia mwanamke basi kuna tatizo kubwa juu ya uelewa wako.
 
It's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and the rewards you have reaped.

Always have some Risk
Live your life with at least a little risk as a permanent fixture. Perhaps that is starting a business, approaching attractive women or accepting above average risk on some other venture.

You should get a buzz from this level of risk.

Great evening Comrades!!
Kuwa mwanaume ni risk tosha. Kwahiyo hakuna jipya hapo
 
Upuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
mzee ilikuaje Tena[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu!😅

Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
Wewe umebeba risk zako huko, mwisho wa siku unakuta anamegwa kimasihara na masela........
 
Back
Top Bottom