Woman love Risk Takers

Woman love Risk Takers

Wewe umebeba risk zako huko, mwisho wa siku unakuta anamegwa kimasihara na masela........
Hiki ndio kinaniwazishaga sana unajitoa kwa manz af bado anapigwa nje 😅😅😅
 
It's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and the rewards you have reaped.

Always have some Risk
Live your life with at least a little risk as a permanent fixture. Perhaps that is starting a business, approaching attractive women or accepting above average risk on some other venture.

You should get a buzz from this level of risk.

Great evening Comrades!!
Sasa wewe beba risk halafu ufeli ndo utawajua hao...
 
Wapi nimeonyesha kuwaabudu? Acha uoga wa maisha kijana kwa mwanaume lazima urisk ata sababu ya familia yako kama hauna sababu ya kurisk kisa unafikiri unamfanyia mwanamke basi kuna tatizo kubwa juu ya uelewa wako.
Inapobidi kufanya jambo linaloleta positive impact ntafanya ila sio ujiingize kichwa kichwa eti uoneakane kidume.
Mfano inakuja kazi ya kupokea wageni nalipwa 5000k kwa kila mgeni atakayekuja alafu nyingine kulima 70000 per heka. Kwa mentality yako utachagua kulima ili uonekane kidume si ndio?
 
Upuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
Sasa makasiriko ya nini jamani? Ndio mlishaumbiwa sisi, hivyo punguza tu makasiriko hayatosaidia.
 
Sasa makasiriko ya nini jamani? Ndio mlishaumbiwa sisi, hivyo punguza tu makasiriko hayatosaidia.
Mimi sijakasirika ila natumia njia zangu mwenyewe ku deal na nyie viumbe, miongoni mwa njia hizo siyo kujibebesha gunia la misumari......kama unajibebisha hutaki kula ugali dagaa, sepa niendelee na mishe nyingine.
 
Muongo mkubwa

Unachanganya Taking Risks na mtu "Successful"

Wanawake wanapenda mtu "Successful" pekee yake kwa standard anayopenda yeye

Taking Rists does not guarantee utakua "Successful"

Na mtu Successful sio lazima kwamba ali take Risk popote

Unachanganya mambo mawili unrelated kabisa kufikisha ujumbe wako vibaya kabisa
Are you challenging my intelligence young boy? Kwamba sijui tofauti ya Risk and Success? [emoji16] Funny! Nikusaidie kidogo hapo the outcome of Risk is Success sasa sijui unataka kusema unaokota hela kwenye mti..

Life is competition and masculine men thrive on it. If you want to get ahead, and have the best life possible, you have to take on risky activities to achieve this.

You cannot be a top 1% man(Success men) , without taking on significant risk.
 
Inapobidi kufanya jambo linaloleta positive impact ntafanya ila sio ujiingize kichwa kichwa eti uoneakane kidume.
Mfano inakuja kazi ya kupokea wageni nalipwa 5000k kwa kila mgeni atakayekuja alafu nyingine kulima 70000 per heka. Kwa mentality yako utachagua kulima ili uonekane kidume si ndio?
Kwa kifupi sana elewa ivi mademu unaowapata au ulionao ni matunda ya risk unazochukua na ndio type iyo specific na mngine atapata wale ambao wako attractive na risk zake pia.
 
Kwa kifupi sana elewa ivi mademu unaowapata au ulionao ni matunda ya risk unazochukua na ndio type iyo specific na mngine atapata wale ambao wako attractive na risk zake pia.
Kujitutumua kutakupongeza note hii kitu mkuu
 
Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu!😅

Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
Umeonge point Ukishaona inakubidi urisk ili umpate mwanamke unalazimisha penzi na sio level zako, upendo w kweli upo natural

Una risk unampata mwanamke alafu unakuja kushare na walamba lipsi, Wanawake hawajui nin wanochataka ndo tatizo linapoanzia hapo

Jamaa alirisk shomesha mwanamke kamaliza shule mwanamke anadai Hana hisia naye, ishi unavyoweza usifake, usifanye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako yuko mwanamke atakupenda hivyo hivyo
 
Mimi sijakasirika ila natumia njia zangu mwenyewe ku deal na nyie viumbe, miongoni mwa njia hizo siyo kujibebesha gunia la misumari......kama unajibebisha hutaki kula ugali dagaa, sepa niendelee na mishe nyingine.
Wacha bwana!!
 
Back
Top Bottom