Kuamua kuwa na mahusiano na mtu wakati huna pesa hiyo pekee ni risk tosha kabisa, sababu lolote laweza kukuta.
Ni wanawake wachache sana wana appreciate hiyo kitu, ki-bongo bongo wengiwao ni vichwa maji.
Imagine huna kazi, pesa au mambo yanakuendea vibaya, linatokea jambo unaamua ku-risk mambo yanakaa sawa, ni bora kama uli-risk Kwa jambo lako, vip kama ni Jambo la mtu mwingine ata appreciate?
Mwisho wa siku utaambiwa kwani nilikulazimisha! Si ulifanya kwa hiari yako, usingefanya wewe wapo wengine wangefanya.
Acha tuendelee ku-risk kwenye kutafuta mafanikio ila kwenye kupendwa ahh endeleeni kusubiri.