Wolper alia kutengwa na mastaa

Anashona nguo aina moja,'pulizo'...na vigaoni viduchuu...
Sio taste ya kila mtu.Anapenda kulalamika huyu kwa kila jambo.
 
Manunuzi ya bidhaa hutawaliwa na mambo haya: Bei, Ubora, Mvuto na Faragha.

Sasa kabla ya kulalamika kuwa mastaa hawaji kununua bidhaa inabidi uje na hayo majibu.
 
Mastaa wengi wa kibongo kwa sasa hawana pesa kabisa lakinu wanajidai kuonyesha nyodo fulani hivi kama wana pesa nyingi. Watavaa nguo za bei ndogo sana walizoziokota Manzese au Kariakoo lakini watakuja kujitamba mitandaoni kuwa hizo nguo walizinunua kwa bei mbaya sana huko Dubai, UK, USA, France, South Africa nk.

Katika hali hiyo, usitegemee watakuja kununua kwenye duka la staa mwenzao, maana duniani hakuna siri, kwa wivu au visa tu watakuja kuumbuliwa.
 
Hizo vitenge vyake ampelekee Humphrey polepole atanunua anavipenda sana!

Hata bwana kipara pia anavipenda ampelekeee
 
sio kwa maparachuti yale!
AMVALISHE HUYO HUYO ANTIE EZEKIEL NA STIFF ZAO NYEUSI KAMA BIBI YAGA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom