Woga mwingine bwana

Niliandikiwa sindano za masaa hospital ya jeshi sindano zenyewe penaduu aise asikwambie mtu
Ha ha ha ulikamatwa na kaswe** nini.. Nilipigwa huo mziki ni aibuuu... Unachoma cc 10 kwa mara moja, kila tako cc5 alaf upate nesi kilaza aicheleweshe iwe kama inataka kuganda hiviii... Mbona utaimba haleluya
 
Ha ha ha ha ha ha ha.....hao watu walivyojiziba midomo,hizo kofia hata mimi ningejibanza kwenye kona ya ukuta! Sindano gani hio kundi lote na maandalizi hayo?!! Ningejua tu hawa wanyonya damu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo swala la sindano ni noma mimi mwenyewe utotoni nilikuwa sichomwi kirahisi,ilikuwa ni lazima wawepo watu wa kunishika ndio nichomwe bila hivyo tutazungushana sana,na nilikuwa nabana matako kishenzi yaani nakakamaa kama gogo
 
Bora we mwenzangu labda umebadilika,
 
Mkuu we bado una uadui na sindano
Sitaki hata kuiona, nikiingia kwenye chumba cha sindano nageukia ukutani nafumba macho naanza kupiga kelele hapo jamaa hajanisogelea, mengine malizia, mkuu kwa nini nidanganye sipendi, siitaki ninaiogopa
 
Hata kama iingekuwa ni mimi ningekwea ukuta kabisa, we hilo lundo lote lakuta wewe, thubutu hawampati mtu hapo
 
Sitaki hata kuiona, nikiingia kwenye chumba cha sindano nageukia ukutani nafumba macho naanza kupiga kelele hapo jamaa hajanisogelea, mengine malizia, mkuu kwa nini nidanganye sipendi, siitaki ninaiogopa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…