Mbezi beach kuna vibaka? Sasa ya nini kuuza kiwanja mil 200??
Kwani hiyo Mil 200 unalipia ulinzi bobu ??Mbezi beach kuna vibaka? Sasa ya nini kuuza kiwanja mil 200??
Acheni Uongo watu wa kawe na Mbezi huko kwenu mnazaa malaika kwenu siyo Uswahilini kabisa .Hayo malalamiko waachieni. Mbagala, Buza,Mwananyamala .Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.
Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa wanawake wamekuwa wakibakwa live usiku saamoja wakirudi makwao, jambo hili lilishaisha ila limeanza tena baada ya sungu sungu kusitisha huduma kutokana na kutopata ushirikiano kati ya wananchi na mwenyekt serikali za mitaa Mbezi Beach.
Serikali za mitaa imekuwa ikiitisha mikutano isiyo na tija hasa hasa wakizungumzia dili za mchanga badala ya usalama wa wananchi.
Hapo nyuma kulikuwa na makubaliano asielipa serikali za mtaa wanapelekewa majina wanandikiwa barua ya kuitwa . Jambo hili baada ya makubaliano wanapopelekewa majina huamua kuweka chini ya meza wakiwadanganya sungusungu tutawaita.
Mpaka sasa ni mwezi wapili hakuna sungusungu serikali za mitaa imekaa kimya hivi sasa vijana wanavunja majumba wanavunja maduka watu wamekaa kimyaa haipendezi kabisa.
Swala la kubaka ni jambo la kutisha baadhi yao wanapokamatwa na kufikishwa pale Kawe mkuu wa kituo hope ajajua asubuhi yake unawakuta mtaani na wengine wakitishia wanarudi kivingine sasa.
Tunaomba mkuu wa polisi Kawe sungusungu wapewe ushirikiano wa kutosha, Mwenyekiti serikali za mtaa najua ma uncle sina jinsi wacha tuwekane sawa wapone wengi tumika sasa mda muafaka sasa kuitisha kikaoo na wananchi wa Mbezi Chini CHADEMA.
Tunaomba wote wasiolipa pesa za sungusungu wachukuliwe hatua ikishindikana shirikiana na mkuu wa Kawe hanaga shida atasaidia hili tukae kwa amani. Wengine tuko majumbani asubuhi mpaka usiku kuogopa corona.
Tunaposema hata tutembee usiku saaambili tuna kutana na corona zingine jamani mtusaidie wamama wanabakwa wadada wakule mtoni wana siri nzito awasemi awajakwambia mwenyekiti sababu hawana msaada.
Mwisho usomapo hili tunaomba uje na maji na sanitaiza kabisa mkutano wa jpili kama utaitisha kujilinda na corina
Mbunge wenu yuko Bizze na Kutafuta kick za Lupango kwanini Wananchi wake nao wasitafute kwenda huko huko Segerea wajue kuna nini kitamu kiasi hicho.Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.
Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa wanawake wamekuwa wakibakwa live usiku saamoja wakirudi makwao, jambo hili lilishaisha ila limeanza tena baada ya sungu sungu kusitisha huduma kutokana na kutopata ushirikiano kati ya wananchi na mwenyekt serikali za mitaa Mbezi Beach.
Serikali za mitaa imekuwa ikiitisha mikutano isiyo na tija hasa hasa wakizungumzia dili za mchanga badala ya usalama wa wananchi.
Hapo nyuma kulikuwa na makubaliano asielipa serikali za mtaa wanapelekewa majina wanandikiwa barua ya kuitwa . Jambo hili baada ya makubaliano wanapopelekewa majina huamua kuweka chini ya meza wakiwadanganya sungusungu tutawaita.
Mpaka sasa ni mwezi wapili hakuna sungusungu serikali za mitaa imekaa kimya hivi sasa vijana wanavunja majumba wanavunja maduka watu wamekaa kimyaa haipendezi kabisa.
Swala la kubaka ni jambo la kutisha baadhi yao wanapokamatwa na kufikishwa pale Kawe mkuu wa kituo hope ajajua asubuhi yake unawakuta mtaani na wengine wakitishia wanarudi kivingine sasa.
Tunaomba mkuu wa polisi Kawe sungusungu wapewe ushirikiano wa kutosha, Mwenyekiti serikali za mtaa najua ma uncle sina jinsi wacha tuwekane sawa wapone wengi tumika sasa mda muafaka sasa kuitisha kikaoo na wananchi wa Mbezi Chini CHADEMA.
Tunaomba wote wasiolipa pesa za sungusungu wachukuliwe hatua ikishindikana shirikiana na mkuu wa Kawe hanaga shida atasaidia hili tukae kwa amani. Wengine tuko majumbani asubuhi mpaka usiku kuogopa corona.
Tunaposema hata tutembee usiku saaambili tuna kutana na corona zingine jamani mtusaidie wamama wanabakwa wadada wakule mtoni wana siri nzito awasemi awajakwambia mwenyekiti sababu hawana msaada.
Mwisho usomapo hili tunaomba uje na maji na sanitaiza kabisa mkutano wa jpili kama utaitisha kujilinda na corina
Mpwa huko ulitakiwa uwe mbunge ukikosa sana hata diwani.Huyoo tuachie sisi2020 mkuu
Kazii utaionaa
heavily gated affluent neighbourhood za kibongo zinakera sana GT.Kwani huko hamna wale GardaWorld,SGS au KK?!
Mimi niko Uswazi, nilijua vibaka ni huku kwetu tu,kumbe hadi kwa washua!heavily gated affluent neighbourhood za kibongo zinakera sana GT.
Wewe labda unaish obey
Denmark hapa tunalala mlango waziMimi niko Uswazi, nilijua vibaka ni huku kwetu tu,kumbe hadi kwa washua!
Nakuelewa sana mpwa.....BMWs Benz range rover unakuta zimepanga nje mtaani hamna kuibiana sijui power window sijui taa!Denmark hapa tunalala mlango wazi
Yakikosekana maendeleo mbunge! Huduma za jamii Kama miundombinu, maji, elimu, afya na umeme zikiwa duni mbunge! Ulinzi ukiwa dhaifu mbunge! Ukilala njaa mbunge! Ukiachika mbunge! Ukikosa pesa mbunge!Mbunge wa Kawe Halima Mdee wanawake wenzake wa Kawe wanabakwa hana habari yuko busy na mambo yake ya hovyo hovyo
Hao hao sungu sungu ndio vibakaWizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.