Wizi waongezeka Mbezi Beach: Serikali za mitaa mmewashindwa wale watoto wa Kawe? Polisi Kawe mbona wakiletwa wanaachiwa shida nini?

Malalamiko haya yametungwa na uongozi uliotemwa wa mtaa ili Huyu Mwenyekiti mpya aonekane hafai!! Yule Mwenyekiti wa zamani wa Mbezi Beach A alikuwa na genge lake la sungusungu likiongozwa na bwana mmoja kutoka Dodoma anaitwa John. Huyu John kazi yake ilikuwa kumkusanyia fedha yule Mwenyekiti kutoka kwa mama ntilie na wale wenye biashara sehemu zilizokatazwa kufanya biashara na ndio maana viwanja vya makazi vingi Mbezi beach A vimegeuzwa sehemu za biashara katikati ya makazi ya watu!!

Hawa wanaitwa vibaka wanafadhiliwa na kulindwa na sungusungu wa zamani walioachishwa kutokana na vitendo vyako vya uhalifu.Sehemu aliokuwa anaishi huyo John ndio kitovu cha biashara ya bangi na yeye mwenyewe anahusika!! Ajabu kubwa ni kwamba huyo mkuu kituo cha Polisi Kawe anamtumia huyohuyo John kama msaidizi wake wa ulinzi shirikishi!!

Hawa viongozi wa Polisi wakikaa kituo kimoja kwa muda mrefu huzoeana na wahalifu na ndio maana hata wakikamatwa huwa wanaachiwa bila kuadhibiwa. Huyu OCS wa Kawe inafaa ahamishwe kama njia ya kupata ufumbuzi wa tatizo kwani amekaa sana Kawe.

Hawa vibaka wa Mbezi Beach wanatoka Kimara na Kawe na sehemu yao wanakukutania ni pale kiwanja cha mama Maria Nyerere panaitwa Rungwe. Ajabu yenyewe ni kwamba mlinzi wa kiwanja hicho Challe Kilasi ni Mjumbe wa serikali ya mtaa ili hali uhalifu unafanywa na watu wanaokutanika hapo!!

Sungusungu wa Mbezi Beach A ulikuwa ni mradi wa Mwenyekiti wa zamani Pantaleo; sasa kwavile hawako madarakani wanataka kuleta fitina ili ule mradi wao na huyo John urudishwe kwani njaa imewabana sana.
MKUU SOMA VYEMA TENA
ATUONGELEI KINA JOHN HAO TULIWAFURUMUSHA WENYEWE KABLA YA PANTA AJATOKA...TULIKUWA NA VIJNA WETU WENYEWE HAO JOHN NK AWANA NAFASI KABISA HUKU MKUU...SIJUI KMA MLIWAPOKEA HAOO
 
Kaka upo sahihi sana. Naishi karibu na Ofisi za Serikali ya Mtaa na nawafahamu vizuri Pantaleo na John.
 
Mimi ningeshauli kuwa ulinzi wa huku Mbezi Beach A ufanywe na vijana wa huku huku Mbezi Beach A ambapo wako wengi hawana ajira; sio busara kuajiri watu toka nje ya eneo. Hawa wanaokaa eneo husika wana advantage ya kuwajua vizuri wenyeji na sehemu husika.
Panta na watu wake are behind what is happening!!
Polisi Kawe wangeweza pia kusaidia kwa kufanya patrol kwenye vijiwe vya vijana wavuta bangi vilivyozagaa sana siku hizi kikiwemo hapo Rungwe kwa Maria Nyerere.
 
Asilimia kubwa unazungumzia kuhusu sungusungu... Means wamenyimwa hela ndo maana sungusungu mmestop!

Sijaona mahali unapowahurumia wabakwaji,or waporwaji!

Kiufupi uko kipesa zaidi na wala sio kihuruma!

NB: mi naishi maeneo hayo, hali haitishi kama unavyoaminisha humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa serikali ya mtaa kuelekea uchaguzi wanaogopa kukusanya michango na kugombana na wananchi. Alafu fedha ya sungusungu pia maeneo mengine inakuwa ni ndefu sana inabidi serikali iweke viwango.

Kuna mitaa zinakusanywa si chini ya 30,000 hadi 50,000 kwa kaya! Mbaya zaidi wanaoumia ni nyumba chache lakini wananchi walio wengi hawatoi na hawafanywi chochote.

Hao viongozi waweke viwango vya 3000 hadi 5000 na wafatilie kaya zote na asiyetoa alinde. Ulinzi shirikishi ni msaada sana tatizo wengine wamegeuza miradi au kuelekea uchaguzi viongozi wanaogopa kukera wananchi mnaishia kulipa wachache tu.

Mkuu hizonyimgi HUKU u n 2000 ALAFU SERKL z a mità wanawakalia KIMYA unawazaa na kuazua wameona majinaya SHANGAZI ama
 
Mimi ningeshauli kuwa ulinzi wa huku Mbezi Beach A ufanywe na vijana wa huku huku Mbezi Beach A ambapo wako wengi hawana ajira; sio busara kuajiri watu toka nje ya eneo. Hawa wanaokaa eneo husika wana advantage ya kuwajua vizuri wenyeji na sehemu husika.
Panta na watu wake are behind what is happening!!
Polisi Kawe wangeweza pia kusaidia kwa kufanya patrol kwenye vijiwe vya vijana wavuta bangi vilivyozagaa sana siku hizi kikiwemo hapo Rungwe kwa Maria Nyerere.
Mkuu ndinani
Sisii baadaya kuonaa watu WANAENDELEA kuibiwa BADOO unambiwa Walipeusiku tuliandika barua tukaitisha kikaooo akajulishwa pantaleoo enzihizo

AKAOMBA mbadala tukasema tunataka VIJANA wahumuhumu MTAANI wazungule mkuu walitoka VIJANA kibaoo na USIKU u wakikuoma HATAKAMA.ukohoii unasindikizwa mpaka kwakoo

Ile MTOkawe ililindwa mwanzo mwishoo wakionekanamadogooo wanapigiana kwanza simu Sungu sunguu.. Na wale waliokuwa wapya awataki kupelekwa mpaka.NYUMBANI wanazunguka Naoo mpaka ASB mbonaa kila mgeni alikuwa anaenda kujitambuljsha mwenyewe kwa MJUMBE
Na in charge WA idara Mjumbe mwanzoo walikamatwa kama.kukuu wakaenda kuambiana kule akufai tena ...
Maana mtoni wakiwaona sungusungu wakimbilie kulia wanakutana nao wanageuza kushotio wako

Na HILO n rahisi kujua huyu mtu hana Shida usikuhuu n mwenyeweji ..sasa 2000 mkuu kwa MWEZI inafanya watu tunasachiwa kama.maiti BANA tena samoja dah
 
Asilimia kubwa unazungumzia kuhusu sungusungu... Means wamenyimwa hela ndo maana sungusungu mmestop!

Sijaona mahali unapowahurumia wabakwaji,or waporwaji!

Kiufupi uko kipesa zaidi na wala sio kihuruma!

NB: mi naishi maeneo hayo, hali haitishi kama unavyoaminisha humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ulipitia hizi hesabu SAMAHAN kidogo

X+Y # Z
NI metaja UBAKAJI NA WIZI WOTE
MWISHO NIMEELEZA HAYA YOTE YANAENDELEA SABABU SUNGUSUNGU WAMESIMAMA KUFANYA KAZI
SABABU KUU AWALIPWI NA KUBWA ZAIDO WANANCHI PENGINE UNAHUSIKA NA WEWE HAMLIPI
KAMA X+Y ZINAKAA SAWA BASI Z ITAPATIKANA
ELSE
X#Z-Y
Y#Z+X
HAPO UTAELEWA ZAIDI
 
Asilimia kubwa unazungumzia kuhusu sungusungu... Means wamenyimwa hela ndo maana sungusungu mmestop!

Sijaona mahali unapowahurumia wabakwaji,or waporwaji!

Kiufupi uko kipesa zaidi na wala sio kihuruma!

NB: mi naishi maeneo hayo, hali haitishi kama unavyoaminisha humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sungu sungu wangeendelea ubakwaji ungekuwpo ama HUO WIZI...??!
 
Kaka upo sahihi sana. Naishi karibu na Ofisi za Serikali ya Mtaa na nawafahamu vizuri Pantaleo na John.
Mkuuu hukoo mna sungusungu wenu awaingiliani na HUKU chini Upande àwa mchangani ndioomana HAWA WETU wakitembea UPANDE WA barabarani wakifika makaburini mamlaka yao imeishia hapo

Ukija chini kuna rainbow wakifikia kwa MH sumari mamlaka yap imeishia hapo

Awaruhusuiwi kuvuka hio lami kuja huko SERKL za mitaa kamwe....
Ila KUANZIA hizo boda rudi nyuma. Mpaka mtoni kawe unapandisha kwa JUU kidogo ukijichanganya wee Waoo

Ndioo maana nimemweleza.mkuu HAOO kina john na pikpik Zaoo tuliwakana sikunyingi na tulishaacha kuchanga hizohelazaoo walipokuja VIJANA WA NYUMBANI WATU wakaanza kuchanganya sijui PEPO gani kaingia WENGINE wasumbufu n Shida

HAO NDIO nalalamikia SERKL za MITAAA mkifanikiwa kuwathibiti n rahisi andikien barua wajekulipia hapo na faini JUU

Mwezii unaofwata wsnatoa MDA muafaka
 
Mbunge wa Kawe Halima Mdee wanawake wenzake wa Kawe wanabakwa hana habari yuko busy na mambo yake ya hovyo hovyo
Ubakaji na ukabaji vipo nchi nzima, ila ni kazi ya jeshi la Polisi kuwalinda raia na mali zao, ningekuelewa kama ungesema Simon Siro ameshindwa kazi yake, Halima Mdee ana jeshi gani? Au jiulize hao askari wanaomkata Halima Mdee kila mara mbona wasitumike kukamata hao vibaka??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa serikali ya mtaa kuelekea uchaguzi wanaogopa kukusanya michango na kugombana na wananchi. Alafu fedha ya sungusungu pia maeneo mengine inakuwa ni ndefu sana inabidi serikali iweke viwango.

Kuna mitaa zinakusanywa si chini ya 30,000 hadi 50,000 kwa kaya! Mbaya zaidi wanaoumia ni nyumba chache lakini wananchi walio wengi hawatoi na hawafanywi chochote.

Hao viongozi waweke viwango vya 3000 hadi 5000 na wafatilie kaya zote na asiyetoa alinde. Ulinzi shirikishi ni msaada sana tatizo wengine wamegeuza miradi au kuelekea uchaguzi viongozi wanaogopa kukera wananchi mnaishia kulipa wachache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wa serikali za mitaa si ulifanyika mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningeshauli kuwa ulinzi wa huku Mbezi Beach A ufanywe na vijana wa huku huku Mbezi Beach A ambapo wako wengi hawana ajira; sio busara kuajiri watu toka nje ya eneo. Hawa wanaokaa eneo husika wana advantage ya kuwajua vizuri wenyeji na sehemu husika.
Panta na watu wake are behind what is happening!!
Polisi Kawe wangeweza pia kusaidia kwa kufanya patrol kwenye vijiwe vya vijana wavuta bangi vilivyozagaa sana siku hizi kikiwemo hapo Rungwe kwa Maria Nyerere.
Wakazi wa Mbezi Beach watoto wa kishuwa wawe walinzi? Hapana hatukubali kwanini hawana ajira hao wasomi na Matajiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom