Wizi wa zaidi ya mil 100 za Wanafunzi Chuo cha IFM

wewe Rwatami ukiambiwa utoe ushaidi utautoa? do you know exactly how IFMSO account operates? do you know the history of the account? maana wewe umeongelea 2013/2014 vipi miaka ya nyuma? unajuaje kama account au chama chenu kina madeni? don't jump on issues! najua ninachokisema.

Hivi ile TV pale cant'n ilinunuliwa bei gani? Na iliyotolewa ilikuwa na tatizo gani..

Katiba ya ifmso mbona inafichwa.
 
dah inashangaza kuona pesa za masikini zinaliwa mita chache tu kutoka ikulu ya nchi
 
Umenikumbusha mbali
Anyway gasia hawa alisema cag anaweza kuombwa na mtuyoyote akamfanyie kazi embuu ongeeni na hawa awasaidie
Cc hawa gasia
 
Back
Top Bottom