Wizi wa vodacom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa vodacom

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mzee wa Mbinu, Nov 10, 2011.

 1. M

  Mzee wa Mbinu JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Ni mambo ya kushangaza kuwa kushiriki walisema hili ni shindano la bure lakini cha kushangaza sisi wananchi wa hali ya chini tunaendelea kukatwa kiasi cha Tshs. 550 kila siku hata kama hujatuma hiyo sms ya kushiriki kwa hesabu ndogo voda com ina wateja Milioni 4.5 kwa kuwaibia kiasi hicho cha fedha inakuwa imekusanya kiasi cha Tshs. 2.475 Bilioni kwa siku.

  Huu wizi wa huyu jamaa wa kagoda ltd yaani yeye anataka mpaka watanzainia wamtambue yeye ni bingwa wa wizi yaani anatunyonya kwenye kila nyanja za kiuchumi, jamaa noma ile mbaya huku kagoda, huku richmond, huku dorwans, hivi hawezi kufanya biashara kwa haki kama wengine?
   
 2. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Anabebwa na wakubwa halafu Chadema wakisema wanaonekana hawafai
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  ndio MAANA KUNA TIGO ///////AIRTEL////////NA YA WACHAGA CHAGAATEL INAKUJA MKUU UNA NAFASI YA KUBADILISHA MPWA
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kati ya watu wenye mawazo pongo ni wewe Pdidy unaongeza idadi ila nilikuwa nakwamini amini lakini uamini naipa mgongo kuanzi muda huu. Inaletwa mada ww unaleta ukabila.
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Achana na Pdidy, yeye habari anazojua ni ku-post mapenzi.

   
 6. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mitandao yoooooooote wezi, ni suala la namna wanavyokubaliana kuwaibia watz kwa zamu.
   
 7. M

  Mzee wa Mbinu JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  sio mitandao yote ni majizi ila ni namna ya wizi huo unakuwaje wengine wanakutaarifu kabisa kuwa mchezo huu ni kiasi fulani utakatwa lakini sio huu wa VODA COM wao walisema mchezo huu ni bure lakini cha kushangaza kwa nini kila siku wanaendelea kukata hizo fedha kwa kutumia sms kuwa uko katika shindano bila wewe kushiriki na tayari wamekata fedha yao ya kushiriki bila wewe kutaka,

  Ukipiga huduma kwa wateja haipatikani na ikipatikana wanakwambia vitu ambavyo havitaondoa tatizo hili, mdogo wangu aliingia katika mtego huu sasa anafikiria kubadilisha line lakini wafabiashara wenzake watapata ufusubufu na yeye kukosa biashara naomba jamaa wa VODA watujibu
   
 8. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa walishafahamu kuwa watanzania wanapenda vitu vya bure ndo maana unaambiwa bahati nasibu lakini kama mtu unaelewa vitu kama hivyo usiendekeze an kama ukiingia kwenye hiyo bahati nasibu ukishindwa usishangae. Kama wao wanatoa TV 100 na ina wateja zaidi ya 8mil hushangai kua idadi yenu manaohitaji ni kubwa? Tuamke watanzania wenzangu lazima tufanye kazi kwa bidii na tusipende njia za makato
  Asante
   
 9. M

  Mzee wa Mbinu JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Tatizo hili shindano hakuna hata siku moja mshindi akatangazwa sasa ni mwezi wa tatu kwanini mshindi hatangazwi? Vipi jamaa wa tume ya mawasiliano na hawa wa michezo ya bahatisha vipi huu mchezo huchezeshwi huu ni wizi kama mchezo umechezwa na hukupata ni sawa lakini wachukue fedha without you concern harafu wasichezeshe, haiwezekani lazima warudishe fedha za watanzania fedha za Dorwans, Richmond na kagoda hazimtoshi du jamaa mlafi
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huwa wanatangaza kupitia magazeti. Ukitazama magazeti ya leo (mi nimeona kwenye Mwananchi) kuna majina ya washindi wa wiki iliyopita
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Hata redioni huwa wanatangaza......nilishawahi kusikia mara kadhaa wakitangaza kupitia CLOUDS FM
   
 12. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,347
  Trophy Points: 280
  Mzee wa mbinu haya makampuni ya simu yapo kimasilahi zaidi..
   
Loading...