wizi wa pikipiki NMB Clocktower Arusha

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
kuna rafiki yangu ameibiwa pikipiki leo hii pale maeneo ya NMB bank tawi la clocktower.
Jamaa alipark pikipiki yake nje ya jengo la bank na polisi waliokuwepo walimuelekeza sehemu ya kupark.
Cha kushangaza jamaa alivyomaliza kujihudumia ndani ya bank alipotoka hakuikuta pikipiki yake.
Kuwauliza polisi hawakujua lolote!kumuuliza meneja wala hatambui!
Hii ni tahadhari kwa wateja wa NMB wa tawi hili!kuna kamchezo cha polisi wanaolinda bank hii kuwaibia wateja!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
pole kwa rafiki yako..

Sehemu zile una park kwa ua own risk,kwani hamulijui hilo?
Askari wa benki hausiki na ulinzi wa usafiri wa watu wajao bank.
 
kuna rafiki yangu ameibiwa pikipiki leo hii pale maeneo ya NMB bank tawi la clocktower.
Jamaa alipark pikipiki yake nje ya jengo la bank na polisi waliokuwepo walimuelekeza sehemu ya kupark.
Cha kushangaza jamaa alivyomaliza kujihudumia ndani ya bank alipotoka hakuikuta pikipiki yake.
Kuwauliza polisi hawakujua lolote!kumuuliza meneja wala hatambui!
Hii ni tahadhari kwa wateja wa NMB wa tawi hili!kuna kamchezo cha polisi wanaolinda bank hii kuwaibia wateja!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
jukum la kulinda usafl uliokuja nao ni la mwenye chombo nicka kaz ya ackali pole ni usalama wabank tu nacyo kufatlia vtu walnyokuja navyo wateja
 
kwa hiyo gari la meneja wa NMB linaweza kuibiwa na polisi wakaliangalia?mbona hakuna kibao cha park at your own risk?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom