Wizi wa NMB

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jaman hebu tuelezane machache kuhusu huduma za hii benk yetu
kwa hapa magu Ukiweka pesa kwenye account isiyo yako ni lazma uambatanishe na shlng 1000/=,
je hii inafanyika hata wilaya zingine au huku MAGU wanaibiwa..!?
 
Ni PM nikupe no ya chief Internal Auditor wao atakupa ukweli kama ni janja yao itakula kwao
 
Mbona walianza kama mwaka na zaidi sasa. Na matangazo yamebandikwa ndani ya mabenki kuhusiana na hilo.
 
Nime-exprience hilo matawi mengi ya Bamk hiyo baada tu ya kuanza kutumia system ya Flexcube. Kwa kifupi naona badala ya kuboresha wamefanya huduma kuwa mbovu kwani hata wafanyakazi wanadai system hiyo ipo slow mno!

My Take: walikurupuka kuingia kwenye mfumo huo bila kujiandaa vya kutosha!
 
NMB ni bank inayongozwa kuhujumiwa na wafanyakazi wake yenyewe na hata ukireport sijui kwa branch manager au kwa chief Internal Auditor hakuna litakalo fanyika zaidi ya bla blaa tupu for instance huku maeneo ya kanda ya ziwa kwa muda wa miezi miwili sasa wafanyakazi na hasa wa mashirika wanalalamikia sana ucheleweshaji maksudi wa mishara yao inayopitia NMB inachelewa adi wiki ya pili ya mwezi bila sababu za msingi, wateja wao wengi tuu wameisha hamia kwenye ma bank mengine wakati hao ma branch managers wame relax tuu, sijui hawajui kuwa dunia ya sasa biashara ni ushindani?
 
Mkuu, siyo huko magu tu! ni branch zote za nmb. ukiweka pesa kwenye akaunti ambayo siyo ya kwako lazima wakukate pesa.
 
Naunga mkono hoja

NMB ni wezi sana.
1 Ukiweka hela saving account hata kama utaacha miaka 100 hakuna faida iwe shs 1000 au milioni mia
2 NMB inatia aibu hasa pale inapokuwa na uhusiano binafsi na wateja na wala sio biashara zao. Chukua mfano wanatoza shs 1000 kwa hela iwekwayo kwenye account isiyo yako. Mbaya zaidi kwa mfano uwe na biashara Magu, na hapo ni akaunti yako ilipo 9kwa maana ya ulipofungua akaunti yako), uchukue mkopo benki hiyo tuseme milioni 20. Wewe binafsi unatakiwa upeleke hele benki kila siku na wala siyo mtumishi vinginevyo uweke shs 1000 kila siku mtumishi anapopeleka benki.
3 Ole wako upeleke au uweke zaidi ya mara moja kwa siku hapo utakutana nao mwisho wa mwezi makato hujawahi ona. Mara wanataka entries isizidi sijui 10 sijui ngapi ni balaa tupu.
4 Ukichukua mkopo ndiyo kabisa wao ndio TRA wenyewe wanakata hata bila wewe kujulishwa
Madudu ya Nmb mengi ajabu

Wenye kuwajua wafoward malalamiko yetu wao ni kama sisiemu huku wilayani
 
ni kweli na slip inagongwa mhuri wa ajabu ajabu ni tanzania nzima hiyo m2 wangu. hata faida ya kuweka fedha bank siioni tena. akaunti yangu imekuwa domant fedha zangu naweka kwenye mpesa tu
Mkuu hapa sijakuelewa but huu mtindo hata CRDB wanao kwa hiyo sishangai kuona NMB nako kuko hivyo
 
Mkuu kote nchini hata ARUSHA hilo tatizo lipo na hasa unapomtumia pesa mtu binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali.Lakini kwa taasisi za serikali mfano vyuo vya serikali na halmashauri hautozwi hela.
Waziri mkuu (mtoto wa mkulima) alishalitolea kauli hili kuwa wasiwatoze wateja wao buku,lakini wamedharau na kulikaidi agizo lake,sijui ilikuwa siasa!
 
Ndio ilivyo katika matawi yote ya NMB, vipi tuandamane!?

Mie hii benki sijui inayoitwa NMB niliisha achana nayo long time . Hawa jamaa wapo kwa ajili yakuwaibia wananchi na si kuwasaidia maskini, bora uhame tu mzee hamia hata POSTAL BANK, CRDB, AKIBA nk siyo hii NMB

 
Watanganyika Bank zipo nyingi ukiona wanakuzingua hamia Bank nyingine, sio lazima mg'ang'anie Bank za kipuuzi kama Serikali ya Mkweeeeeeeeereeeeeeeee
 
Back
Top Bottom