DOKEZO Wizi wa mtandaoni (wauzaji wezi Instagram)

DOKEZO Wizi wa mtandaoni (wauzaji wezi Instagram)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
 
Ingependeza kama wakiwa wanatajwa kwenye comments au hapo juu kwenye uzi...
 
Back
Top Bottom