Wizi wa Tsh Mil 700 halmashauri ya Ilala kama EPA

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Hivi punde uongozi wa Manispaa ya Ilala pamoja na Baraza la madiwani wamejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kupewa taarifa kuwa kampuni ya MACS&SONS ilikuwa imejikwepulia kiasi cha sh 700,000,000 kwa amri ya mahakama kutoka ktk akiba yake ya banki.

Mshangao ni mkubwa zaidi kwani duru za kiintelijensia za JF zimepata habari kuwa mwanasheria wa halmashauri hajawahi kuwa na shauri na kampuni hiyo na mbaya zaidi halmashauri haina takwimu za kazi au huduma zilizotolewa na kampuni hii.

Karibuni.
 
Nitarudi hivi punde

hata mimi nitarudi baadaye, ila sishanga BOT iko Ilala, Wizara karibu zote ziko ilala, Brela iko ilala, hata ikulu iko ilala....kwa nini watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Ilala nao wasikwibe?
 
kweli hii kali sidhani kama serikali itaweza kupunguza umaskin kwa hali kama hii..............sasa hiyo halmashauri ilikua wapi jamani
 
hawa wawekezaji wanajikokea moto maana wananchi wakichoka sana wataanza kuwafanyia kama yale ya Manyara
 
Back
Top Bottom