Kwa hiyo ulinunua nyapu kwa laki mbili....au sijakuelewa vizuri mkuu. Ila ulicheza kiume..Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
Kuna yule wa Kariakoo uhuru, ukizubaa anachanganya na kumi feki halafu anaitoboa kabla hata hujaichunguza..Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
hahahahhaha dhambi huzaa dhambiSasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
hahahahMimi nimependa hiyo PAYLAW ......payroll
Kale katoto ka kichaga hatariiii hahahahaKapo kengine pale Azikiwe Premier kanaitwa Haika...kadogo dogo hivi chocolate colour. Kaogope kama una ukoma, labda kama una pesa kidogo.....kama nyingi lazima kakupige
Acha kutetea upuuzi unajua anayezungumziwa ni yupi......(vichunusi)..unganisha dotsMhhh kuhusu huyo Aika wa CRDB Azikiwe, mdada anapiga kazi ile mbaya yuko super faster & smart. Napata kigugumizi, kwanza hausiki na malipo taslimu ataiba Cheque au Bank Balance?
mtoto wa ukweli sana yulee aisee daah cjui bado yupoKale katoto ka kichaga hatariiii hahahaha
yule mwenye mwanyaAcha kutetea upuuzi unajua anayezungumziwa ni yupi......(vichunusi)..unganisha dots
Usikute ni vijihela vilivyompa mimba. wengine ni vipaji tuYaaaap hata crdb arusha nao kuna mdada nlimwacha pale mjamzito alikuwa janja sana alikuwa na ujanja huo huo
Sio ivo tuu hata mishahara ya watumishi inaibiwa unaweza kujikuta uko kwenye paylaw lakini acount yako k
Haisomi
Ajira mwendo kasi baba anataka awe na vog na majumba for one year.... Aibu sanaJamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
okay!Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
alaaah... ulikula uchi wa laki 2 kwa mara moja tu!!! au ilikua bando ya wiki?Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
anasema alipewa na yale mambo mengine...alaaah... ulikula uchi wa laki 2 kwa mara moja tu!!! au ilikua bando ya wiki?
kwahiyo jamaa alisafisha mtaro!?anasema alipewa na yale mambo mengine...
itakua aiseekwahiyo jamaa alisafisha mtaro!?
Crdb ipi mapato, meru, tfa au f. Corner?Yaaaap hata crdb arusha nao kuna mdada nlimwacha pale mjamzito alikuwa janja sana alikuwa na ujanja huo huo
itakua aisee