Mutensa
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 421
- 92
Wakubwa,
kuweni makini muwapo maofisini kwenu au mnapopaki magari maofisini. Kuna rafiki yangu mmoja yuko Alpha house amenipa taarifa ya kusikitisha kuwa kuna mzungu mmoja pale ameibiwa gari ambalo amelipaki na kuingia ofisini leo asubuhi. Baada ya kutoka nje alikuta kutupu, mpaka sasa haijulikani hilo gari limetoweka kuelekea sehemu gani na nani kalichukua. La kujiuliza, hao jamaa wamepata wapi funguo?