Wizi wa magari Dar

Kuna uwezekano wa muosha gari wake kumfanyika uhuni. Unapoosha gari usimkabidhi muoshaji funguo, wanaikandamiza kwenye mche wa sabuni na kupata mould ya kuchongea duplicate. Kila ukipeleka kuosha anajaribu kama funguo aliyochonga inafanya kazi. Then anaenda kuirekebisha, mpaka ikiwa OK then wanaanza kukufuatilia mienendo yako.

Never handle your car key to anyone regardless what. Ukitaka kuosha ndani chukua muda, mfungulie na wewe ukiwa hapo hapo akimaliza funga ondoka na funguo yako.
I saw this incident when i was in Arusha exactly as Hofstede wrote. All in all this is sad news
 
Kuna uwezekano wa muosha gari wake kumfanyika uhuni. Unapoosha gari usimkabidhi muoshaji funguo, wanaikandamiza kwenye mche wa sabuni na kupata mould ya kuchongea duplicate. Kila ukipeleka kuosha anajaribu kama funguo aliyochonga inafanya kazi. Then anaenda kuirekebisha, mpaka ikiwa OK then wanaanza kukufuatilia mienendo yako.

Never handle your car key to anyone regardless what. Ukitaka kuosha ndani chukua muda, mfungulie na wewe ukiwa hapo hapo akimaliza funga ondoka na funguo yako.

Ushauri mzuri !!!

Hata Gerage kama huna imani na mafundi wako kivile sana usijiachie..!! Wanasema kikulacho ki nguoni mwako..!! Huwa sitoi nafasi za jinsi hiyo..Japo vitu vingine inabidi mtu ujifunze kuamini kama tunavyo amini yesu atarudi tena.!!
 
inabidi sasa gari lako ukae nalo kama askari magereza na mfungwa tutafika namna hii ukizubaa tu utanzaa kutafuta gari mfukoni bongo kiboko
 
Ni taarifa za maana sana kwa wadau, shukurani kwa taarifa hii itawafaa sana watu kwani katika mazingira ya usalama watu hujisahau sana. Na wizi wa magari kama tabia ya msimu inapoanza kama hivi ni lazima watu waumie, big up!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom