mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Nilipiga kuomba delay.niliweka elfu 26 huwa najua ya adios wapi siku zote.alianza zero lakini akiweka hewa.yalipofika elfu 18 ndiyo nikawa Nasikia yanaingia alipomaliza nikamwambia njoo Mbona fuel haijafikia kipimo akasema labda ni gari yako gage problem nikamwambia unaona hii gari ni mpya na ni digital kilakiu kinafanya kazi ni yangu wewe huijui.akasema nimeweka nikamwambia good.where is your manager akaja muarabu from next office opposite Na uchumi supermarket.nikamwambia weka fuel ya same unit elfu 26 kwenye dumu.halafu haya uliyoweka nafungua koki chini naweka kwenye ndoo yakiwa sawa nalipa zote uliyoweka kwenye gari yakiwa pungufu unaingia kwenye gari nakupeleka kawe polis kwa kosa la wizi. Kijani Akaogopa.manager akaagiza wakaweka fuel mpaka pale mshale wangu ninapojua siku zote.
Muda wangu ulienda about 2hrs lakini mpaka Leo nikienda hapo wanasema shomile amekuja muwekeeni fuel msifanye mchezo.na mimi wala sio shomile
Hakikisha unapigania haki yako usiondoke.ikiwezekana mchukue muache polisi kwa maelezo kisha mahabusi.hapo waajifunza
Mpendachapati
Tembeeni na vidumu wajameni..