Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Unapenda ubuyu eeeh teh tehUkimpata huyo swahiba utujulishe!
Unapenda ubuyu eeeh teh tehUkimpata huyo swahiba utujulishe!
Kituo kimojawapo ni Engen ya mbezi makonde Kuna jamaa alinipiga buku 10 akaweka ya 20 wkt nimempa 30....ilipanda mishale miwili badala ya mi3.
Haaa hii oilcom ya opposite na uchumi Segerea ni komesha. Gari yangu full tank ni elfu 60 niliwapa 40,wakaanzia 0.0 but huwez amini mshale haukupanda ukaishia robo tank. Normally huwa naweka lake oil sanene ya elfu 30 mshale unapanda had nusu tank!! Yaan hawa oil com wanamchezo mchafu na sirudi pale napaona km police station
Unajua wezi huwa hawapendi kuibiwa sababu wanajua machungu yakewatanzania wengi ni wezi we unaibiwa sheli na wewe umemuibia boss wako VUMILIA