Wizi wa kimachomacho tena wa mchana: Wabunge wa Dar mko wapi?

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
Kumekuwa na operesheni ya kukamata pikipiki kwa madai hazina kibali cha kuingilia katikati ya Jiji,kwa kadri ninavyojua hakuna she ria inayozuia pikipiki kuingia katikati ya Jiji isipokuwa pikipiki za makampuni au zenye vibali maalum kama IPO she ria ya kibaguzi namna hii itakuwa she ria ya ajabu pikipiki maelfu kwa maelfu zinakamatwa kuzitoa ni laki moja ukizidisha kwa pikipiki utajua ni kiasi gani watu wanaingizwa katika umasikini,nawasilisha
 
Kupanga ni kuchagua. Ukiamua kuishi kwa kuvunja sheria kwa kuwategemea wanasiasa wakati wao ndio watunga sheria hizo, lazima uandae duko la pesa za kulipa faini au kutoa rushwa. Poleni sana. Mnaowaita wako mjengoni wanachangamkia ze posho. Wakitoaheka watakuja, endeleeni kusubiri
 
Nasisi tulivo hohehahe na kwenye uchaguzi mwakan wanarudishwa hawahawa viziwi wasio sikia wakiitwa au kuliliwa
 
Back
Top Bottom