fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote, download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya, download broadband monitor.
kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya,download broadband monitor
it is very true chief mara nyingi tumekuwa tukisahau kuwa huwa kuna uploads na hivyo huwa tunabase sana kwenye downloads.usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload