Wizi wa Bank ya CRDB

Wizi wa Bank ya CRDB

Status
Not open for further replies.
Itabidi nirudi darasani nianze kufundisha upya tena kwa sababu ninaona watu wengine hata hawajui maana ya kusema CRDB ni wezi. Bank inakusanya deposits kutoka kwa watu ili ifanye biashara na kufanya biashara sio kutoza charges ambazo hazina maana yo yote.

Ledger fee is okay, lakini sio kila withdraw unakatwa pesa. CRDB imeshindwa hata kuvuka mipaka na kwenda kufanya biashara inakalia kuwanyonya maskini wa kitanzania. Eti CRDB ina tawi nchini Burundi, kila mtu anajua uchumi wa Burundi is very poor, wananchi wake is very poor, huko kwa maskini ndiko CRDB inafungua matawi. Mbona wasiende Kenya, Uganda, Rwanda au hata Kusini mwa Afrika? Jibu ni moja, hawajui biashara za ki-bank, wao wamekalia kukata watu fedha za wizi.

Halafu mwisho wa mwaka wanasema wamepata faida ya billions of money, from what businesses? Kwahiyo hata nyie watetezi wa CRDB ni vizuri mjue kuwa CRDB hawafanyi biashara ya ki-bank, biashara ya ki-bank sio kuishi kwa kukata depositors so many charges, biashara ya ki-bank ni kuchukua deposits kutoka kwa depositors then unatoa mikopo, which in turn will give you interests ambayo sasa ni income yako.
 
Kwan ni adi leo wanakata 700 ukitoa kiasi chochote? E="Sawana, post: 12111099, member: 189659"]Ndugu wana JF!

Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.

Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.

Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.

Naomba kuwasilisha![/QUOTE]
Kwani
 
M.pesa tigo pesa nk ukitoa milion moja unakatwa 8000 wakat crdb ni 2100 wapi ndo pakulalamikia apa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom