Wizi wa Bank ya CRDB

Wizi wa Bank ya CRDB

Status
Not open for further replies.

Sawana

Senior Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
130
Reaction score
46
Ndugu wana JF!

Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.

Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.

Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.

Naomba kuwasilisha!
 
Jamani hizo ndo bank charges au hamjui? Hakuna free lunch. Kutoa au kutuma milion moja m pesa kiasi gani?
 
acha upoyoyo!! unataka upewe huduma bure!!? nani wa kukuwekea pesa zako bure? ATM zinafanya kazi bila gharama!!!? katoe pesa zako uweke kwenye kibubu!
 
Jamani hizo ndo bank charges au hamjui? Hakuna free lunch. Kutoa au kutuma milion moja m pesa kiasi gani?
Bank charges sawa, lakini mbona kila siku wanapandisha tena bila kumjulisha mteja.
 
Ndugu wana JF!

Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.

Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.

Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.

Naomba kuwasilisha!
Niambie bank ambayo haikati hizo kodi nikajiunge mapema, maana kama NBC ndio mbaya zaidi baadhi kama si zote kiwango cha kutoa kwa mara moja ni Tshs 200,000 tu kwa hiyo kwa 1 Miln ina maana utakatwa 700*5 =3500Tshs
 
Ndugu wana JF!

Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.

Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.

Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.

Naomba kuwasilisha!

Yaani watu wagundue teknolojia halafu wakupe utmie bureeee..... Hifadhi hela zako chini ya mto hutakatwa wakati unatoa kidogo kidogo.
 
Bank charges sawa, lakini mbona kila siku wanapandisha tena bila kumjulisha mteja.

Mmh..sijui kwa hilo la kujulisha ila.kwa sehemu ninazoenda huwa wameweka matangazo kama.gharama zitapanda kuanzia mwezi fulani.ukiona ivo ujuea ndo zimeshapanda...kila kitu kinapanda meku
 
Tumeshindwa kuacha pesa nyumbani na benko nao wanataka faida lazima watuibie wala hatuwezi jitoa
 
Pole sana mkuu, nenda kesho kafunge account yako utoe pesa zako zote, ukaenazo nyumbani.
 
Vp na ukienda kuuliza salio wanataka jero au wameacha
 
Sawana,

Mkuu je unafahamu kuwa banking ni biashara kama biashara zingine? Unapofanya biashara unategemea kutengeneza faida na si hasara.

Sasa unapowaita ni wezi wakati umesaini mkataba nao, na umekubaliana na masharti yao bila shuruti yoyote, huoni kama huwatendei haki?

Halafu tambua kuwa tundu la kutolea pesa kwenye ATM lina uwezo wa kutoa noti 40 tu kwa wakati mmoja. Kwa maana hiyo kiasi unachoweza kutoa kwa wakati mmoja kinategemea na thamani ya noti iliyowekwa kwenye ATM.
Mfano

  • Kama ni noti ya shilingi 500 basi itakuwa 500 x 40 =20,000/=
  • Kama ni noti ya shilingi 1,000 basi itakuwa 1,000 x 40 =40,000/=
  • Kama ni noti ya shilingi 2,000 basi itakuwa 2,000 x 40 =80,000/=
  • Kama ni noti ya shilingi 5,000 basi itakuwa 5,000 x 40 =200,000/=
  • Kama ni noti ya shilingi 10,000 basi itakuwa 10,000 x 40 =400,000/=
 
Last edited by a moderator:
Jamani hizo ndo bank charges au hamjui? Hakuna free lunch. Kutoa au kutuma milion moja m pesa kiasi gani?

Inaelekea una maslahi fulani na hiyo Bank si bure,maana unaitetea kama vile wewe ndiye Kimei
 
Wabongo mfumo wa ujamaa umetuharibu kweli.. Kama ukitoa milioni kwenye Mpesa unakatwa TShs. 7,000/= unaona kukatwa TShs. 2,100/= kwa ajili ya huduma ya ATM ni wizi kweli..?
 
Fuatilia na Bank nyingine hasa za kigeni ndiyo utazimia kbs....kama siyo kufa!? Bank almost zinafanya biashara na hizo ndy biashara zenywewe...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom