mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Amesahihisha tayari...ungefuta hiyo comment mkuuSio Betry ni Battery, fanya masahihisho kabla hawajaja.
mwanamke mzur hata kimapenzi ni mpole muaminifu, mm mwanamke mwizi, mjanjajanja, hata iweje nimchomi kuni yangu.Yukoje huyo bint nikjizolee demu wa bei rahisi
kuu sikujua kama zinapatikanaKwamba jamaa ana gari ila anataka akachonge betri kwa efu5
wacha unoko wewe hata wewe unaiba muda wa bosi wako kila mtz ni mwizi kwa njia moja ama nyingineweKama mnavyofamu baadhi yetu tunatumia simu na vifaa vyao startimes na pindi kifaa katika simu kinapopata hitilafu naenda ofisi zao zilizotapataa kila mtaa wa majiji yetu.
Nimekutana na kitimbwi hiki makao makuu pale bamaga, kabla ya kwenda kununua Battery ya simu yangu ya startimes nilifanya uchunguzi kwa wapiga dili wa Battery za kuchonga kariakoo, nilichonga Battery bila mafanikio, nilipeleleza na-kuona maduka yao vipo vipuri vya bidhaa zao.
Lakini watu hawa wanaajili wezi, inashangaza sana unashawishiwa kiwizi, kijinga na ulaghai wa kipuuzi. Batteryile inauzwa sh 15000 za kitanzania. Hii ni bei ya Battery niliyopewa baada ya kuulizia kwenye maduka yao ya pembezoni, kabla nilipoamua kwenda Bamaga mkabala na TBC nilijua pale sitakosa kifaa hiki, nikashangazwa na kuambiwa tunauza sh 15000/- lakini mpaka jumatatu Battery zilizopo zinauzwa sh 25000/- mtu binafsi kazinunua anaziuza baada ya zile za ofisi kwisha..! maajabu.
Nikamwambia binti huyu asiyejua nini maana na madhara ya anachokifanya. Nikasema, sawa mimi nitakuja Jumanne najua sitakosa. Nikaenda Siku ya Jumanne, nilipaki Petro station nikatembea baada ya kuvuka barabara. Yule dada nikamkuta tena, akanipa jibu la utata tena, kuwa zimeisha, nikamwambia pana watu wananunua kwa jumla? akajikanyaga, nilikuwa nimeshika sh 15000/-
nikawaza je nikaongeze hii pesa ninayo kwenye gari ili niondoe usumbufu huu? au nisepe tu? Nikajipa moyo kwa kuwa hakuna walionunua kwa ajili ya kuuza mtaani. Nikaongeza 5000/ akaniuzia kwa 20000/- nikadai risiti akasema hii haina risiti.
Ndugu zangu watanzania sisi ni wa ajabu sana.
Star times wahusika liangalieni hili na mtoe fundisho magazetini. KWENYE mabenki yetu wafanyakazi wanaokosea hutolewa magazetini, wizi, kutokuwa waaminifu ni tatizo kwenye biashara zenu, nilivyoamua kuhamia samsung ilikuwa si mapenzi, niliipenda sana startimes bidhaa zenu lakini kwa kutokuwa makini, mtawakosa wengi
duh, mkuu mungu ametuumba tofauti sana.wacha unoko wewe hata wewe unaiba muda wa bosi wako kila mtz ni mwizi kwa njia moja ama nyinginewe
aisee mimi siwezi kabisa kuhangaikia kitu nikizunguka mara mbili tatu natafuta cha mkatoduh, mkuu mungu ametuumba tofauti sana.
Maswali:Kama mnavyofamu baadhi yetu tunatumia simu na vifaa vyao startimes na pindi kifaa katika simu kinapopata hitilafu naenda ofisi zao zilizotapataa kila mtaa wa majiji yetu.
Nimekutana na kitimbwi hiki makao makuu pale bamaga, kabla ya kwenda kununua Battery ya simu yangu ya startimes nilifanya uchunguzi kwa wapiga dili wa Battery za kuchonga kariakoo, nilichonga Battery bila mafanikio, nilipeleleza na-kuona maduka yao vipo vipuri vya bidhaa zao.
Lakini watu hawa wanaajili wezi, inashangaza sana unashawishiwa kiwizi, kijinga na ulaghai wa kipuuzi. Batteryile inauzwa sh 15000 za kitanzania. Hii ni bei ya Battery niliyopewa baada ya kuulizia kwenye maduka yao ya pembezoni, kabla nilipoamua kwenda Bamaga mkabala na TBC nilijua pale sitakosa kifaa hiki, nikashangazwa na kuambiwa tunauza sh 15000/- lakini mpaka jumatatu Battery zilizopo zinauzwa sh 25000/- mtu binafsi kazinunua anaziuza baada ya zile za ofisi kwisha..! maajabu.
Nikamwambia binti huyu asiyejua nini maana na madhara ya anachokifanya. Nikasema, sawa mimi nitakuja Jumanne najua sitakosa. Nikaenda Siku ya Jumanne, nilipaki Petro station nikatembea baada ya kuvuka barabara. Yule dada nikamkuta tena, akanipa jibu la utata tena, kuwa zimeisha, nikamwambia pana watu wananunua kwa jumla? akajikanyaga, nilikuwa nimeshika sh 15000/-
nikawaza je nikaongeze hii pesa ninayo kwenye gari ili niondoe usumbufu huu? au nisepe tu? Nikajipa moyo kwa kuwa hakuna walionunua kwa ajili ya kuuza mtaani. Nikaongeza 5000/ akaniuzia kwa 20000/- nikadai ris
Ndugu zangu watanzania sisi ni wa ajabu sana.
Star times wahusika liangalieni hili na mtoe fundisho magazetini. KWENYE mabenki yetu wafanyakazi wanaokosea hutolewa magazetini, wizi, kutokuwa waaminifu ni tatizo kwenye biashara zenu, nilivyoamua kuhamia samsung ilikuwa si mapenzi, niliipenda sana startimes bidhaa zenu lakini kwa kutokuwa makini, mtawakosa wengi
utakuwa na akili fupi, na kwa kuwa wewe ni mfupi na kwa kuwa akili yako iko karibi na uchafu(mv) huwezi kuelewa kitu. Watu kama niny ndio mlivyo pambafuNimejitaidi kurudia rudia kusoma lakini sijaelewa!!
Sasa kwanini ulishiriki kwenye uharamia wa kutopewa risiti? Uliyoandika hayana maana kama nawe ulishiriki kwenye uharamiaKama mnavyofamu baadhi yetu tunatumia simu na vifaa vyao startimes na pindi kifaa katika simu kinapopata hitilafu naenda ofisi zao zilizotapataa kila mtaa wa majiji yetu.