wizi mtupu

kazi ni kazi
Ila nasikia wakware wanapitilizaga maana hiyo scine inawezakuchukua miezi wapo kwenye mazoezi!!!mimi kama mimilazima tuwe wote kwenye mazoezi dah!!maana yaitaji uvumilivu vinginevyo moyo unaweza kuchomoka ukakuta umedondoka adhari!!
 
hahahahahah lol muhimu kuwa na mwenzio kwenye mazoezi Kaka......
halafu ukimwacha mwenzio utamu uko wapi??lol
 
Inawezekana ikawa ni just a part of work (making a movie), lakini nalazimika kuamini kuwa as a normal and real man kitu kina uwezekano mkubwa wa kufuatia hapa. Tukumbuke ni nini maadili yetu kama watanzania endapo hatutajiita kama waafrika, ndivyo mila zetu zinasema? tusishabikie uzungu wakati wao wanakesha wakijipongeza kwa kuweza kutuharibia maadili yetu na kuingiza vitu vyao chungu nzima, we must feel shame on this. Jiulize, ni vitu vingapi wao wameiga kutoka kwetu, halafu nenda upande wa pili kisha angalia kwetu ni vingapi tumeiga kutoka kwao??
Naona aibu
 
Walichoiga kwetu mpaka sasa ni uongo hasa ukute ameoa au kuolewa na mwafrika ni waongo mpaka wanatia kichefuchefu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom