Wizi mpya wa VodaCom, Tuwakatae!

Wizi mpya wa VodaCom, Tuwakatae!

weka hela m-pesa... uwe unanunua vifurushi moja kwa moja....
 
aaaaaaaaahnkadhani ni lowassa kaiba tena 800 bilion shivacom,
hayo yote yanafanyika ili kufidia wizi wa bilion 650 alizoiba lowassa na fred lowassa kupitia shivacom................inauma sana lowassa ametufikisha hapa tulipo

kojoa ukalale
 
Nnahisi hapo hakuna wizi ni matumizi tu.

Nnakushauri fanya "data shutoff" kwenye "Mobile Networks" kabla hujaingiza salio.

Ukisha shutoff data, ingiza salio, nunuwa kifurushi halafu ndiyo funguwa data connection.

Nokia tochi nayo ina data connection?? Maana washanilamba salio nikiwa naona!!
 
Wadau, vodacom imekuja na wizi mpya baada ya kuona ule wa mb 8 umenyamaziwa, ambapo sasa hakuna vocha ya 500 bali 450. Aina hii ya wizi ni kwamba ukienda dukani hiyo vocha utainunua kwa sh.500 huku wewe ukipata sh.450 kwenye salio lako.

Ikumbukwe kwamba hao vodacom hawana kifurushi cha chini ya 499, sasa mtu kama unanunua vocha ya sh.500 alafu unapata sh.450, maana yake utakuwa unalazimika kununua vocha mbili za 1000 ili upate 900, au ya elfu moja ili uweze kujiunga!

Jaman hii nchi tunaelekea wapi? Kwa maisha gani ya mtanzania kuweka elfu moja kila siku kwa ajili ya vocha?

Hawa jamaa ni kuachana nao kabisa, leo hii R.I.P lain ya voda, sina hamu na ninyi tena!

Nimenunua vocha ya UNI ya airtel kwa 6000/= nina dakika 480 za airtel, dakika 20 mitandao yote na 4gb za internet!!! No regrets huku naona thamani ya pesa yangu!!!

Nb kuna za wiki ambazo ni 1500 na za siku 2 ambazo ni 500!!!!
 
Hawa jamaa niliachana nao baada kuwa naweka vocha wenyewe wanazikomba pasipo Mimi kuzitumia, sikuizi hauwez kujinga na kifurushi cha 1000 mpaka uweke zaidi kidogo jamaa ni matapeli, Tigo ndo mpango mzma
 
Hawa jamaa niliachana nao baada kuwa naweka vocha wenyewe wanazikomba pasipo Mimi kuzitumia, sikuizi hauwez kujinga na kifurushi cha 1000 mpaka uweke zaidi kidogo jamaa ni matapeli, Tigo ndo mpango mzma
Kweli kabisa mkuu, na ukiacha hata kama ukizima data, masaa 2 ni mengi unakuta salio linasoma 0.2
 
Back
Top Bottom