Wizi mpya wa VodaCom, Tuwakatae!

Wizi mpya wa VodaCom, Tuwakatae!

Wanakupa mb za bila kikomo ila ukifkisha mb 700 wanasema imeisha wakati walisema bila kikomo, wezi wa kubwa VodaCom
 
aaaaaaaaahnkadhani ni lowassa kaiba tena 800 bilion shivacom,
hayo yote yanafanyika ili kufidia wizi wa bilion 650 alizoiba lowassa na fred lowassa kupitia shivacom................inauma sana lowassa ametufikisha hapa tulipo
 
aaaaaaaaahnkadhani ni lowassa kaiba tena 800 bilion shivacom,
hayo yote yanafanyika ili kufidia wizi wa bilion 650 alizoiba lowassa na fred lowassa kupitia shivacom................inauma sana lowassa ametufikisha hapa tulipo

Akili yako ina mgao mkali wa umeme!!! Kuna giza humo!!
 
Wanafanya watakalo maana Naibu waziri yuko busy na kutafuta njia za kuchakachua kura.
Kuna timu imeanzishwa ya mikakati ya wizi wa kura na humo yumo January, Mwigulu, Kigwangwala na mwingine mmoja tunamuhifadhi kwa sasa.
 
Toroka uje.. Kila asbhi napata mb 50 bure siku nzima.. Voda nilishawahama kitambo tena baada ya kuwakopa 2000 wapuuzi sana.

Mkuu nilishakuambiaga usitoboe siri yetu, hawakawii kujaa huku. Na wakishajaa itakua ndo basi tena.
 
hivi voda si wako hapa, mbona hawasema lolote au ni........!
 
Pia Vodacom wameondoa huduma ya kuongea na muudumu wao bure Sasahivi ni shilingi 100 kuongea nao. Ndio Tanzania imefikishwa na Mfumo m'bovu hapo. Kila Mtu anajiamulia atakavyo.

jana nimeongea bure na mhudumu.
 
Nnahisi hapo hakuna wizi ni matumizi tu.

Nnakushauri fanya "data shutoff" kwenye "Mobile Networks" kabla hujaingiza salio.

Ukisha shutoff data, ingiza salio, nunuwa kifurushi halafu ndiyo funguwa data connection.
 
Back
Top Bottom