Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,801
- 38,842
Wadau, vodacom imekuja na wizi mpya baada ya kuona ule wa mb 8 umenyamaziwa, ambapo sasa hakuna vocha ya 500 bali 450. Aina hii ya wizi ni kwamba ukienda dukani hiyo vocha utainunua kwa sh.500 huku wewe ukipata sh.450 kwenye salio lako.
Ikumbukwe kwamba hao vodacom hawana kifurushi cha chini ya 499, sasa mtu kama unanunua vocha ya sh.500 alafu unapata sh.450, maana yake utakuwa unalazimika kununua vocha mbili za 1000 ili upate 900, au ya elfu moja ili uweze kujiunga!
Jaman hii nchi tunaelekea wapi? Kwa maisha gani ya mtanzania kuweka elfu moja kila siku kwa ajili ya vocha?
Hawa jamaa ni kuachana nao kabisa, leo hii R.I.P lain ya voda, sina hamu na ninyi tena!