Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 371
- 886
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi.
Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna upungufu wa sh. 400. Hapo sina huduma yoyote niliyojiunga. Ilipofika mida ya saa 12 jioni nikakuta tena sh 400 imepigwa hivyo Jumla kuwa 800.
Nikaamua kuwapigia, isee nikapokelewa na customer care wa kike bumunda kweli namuuliza sababu ya salio langu kuibwa anabwabwaja tu ooooh labda ulibonyeza "Reli kwa bahati mbaya ukawa umejiunga na baadhi ya huduma zetu"Aisee mpaka hapo nikagundua kabisa kuna haja ya haya makampuni kumulikwa maana hii tabia inaathiri watu wengi na ha kufanya.
Wito wangu Kwa SERIKALI kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA mulikeni hawa wezi na mchukue hatua za kisheria!