yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Nnahisi hapo hakuna wizi ni matumizi tu.
Nnakushauri fanya "data shutoff" kwenye "Mobile Networks" kabla hujaingiza salio.
Ukisha shutoff data, ingiza salio, nunuwa kifurushi halafu ndiyo funguwa data connection.
Watz wengi wanatanguliza malalamiko kwanza kufikiri ndo kunafata,ndo mana lowasa amevuna vichwA vingi sana vya aina hiyo