Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..

"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"

Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.

VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.

Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.

Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Voda wanazingua sana
 
Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Hapana. Wanafanya kusudi. Nilipoligiwa simu na customer service sikupokea, nilikata. Papo hapo ukaja ujumbe kuwa nimejiunga na huduma tajwa ya huyo jamaa. Nikawapigia mtandao na walikiri.
 
VODACOM ni wezi fullstop.
Tatizo langu ni TCRA kutochukua hatua licha ya kujulishwa malalamiko ya wateja kudhulumiwa.
 
Kuna mambo mawili...

1. Aidha kuna mtu alishika simu akajiunga na hiyo huduma, au wao wenyew katika pop ups zao za kitangaza hiyo huduma ulithibitisha kwa bahat mbaya bila kujua...

2. Wao kama Vodacom kwasababu sio mtu mmoja, ni ngumu mfanyakaz mmoja akufanyie hivyo wakati mshahara wake upo pale pale, hivyo ni mfumo umeyumba
Wanaunga kusudi. Walikiri hilo baada ya kuwapigia. Ila niliwaambia kuwa kama ni huduma basi waiweke ktk orodha ili nichague na nikatwe pesa nikiwa timamu nikifuatisha menu kuliko kuviziana namna hiyo.
 
Inaonekana una hasira sana mkuu 😂
 
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..

"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"

Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.

VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.

Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.

Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Hahahahq wote mkuu
Mwaka flan nilikuwa naweka vocha natumiwa msg umekatwa sh xxxx uliyokopa heee nkaendabtigo hii mara yatatu lini nimekopa na saangapi..wakaangalia baadae jion nikakuta msg unezawadiwa nda wa maongezi wa wiki nzima na sms kadhaa nkasemahelayangu converted.. nkahamia airtel so tigo naweka 3000 kwa mda ikiisha natumia airtell
 
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..

"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"

Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.

VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.

Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.

Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Nimetumia Vodacom miaka zaidi ya kumi sasa sijawai kukutana na kitu kama hiki. Kua makini tu kwenye utumiaji wako
 
NYIE LALELNI KILA WIKI AMA WIKI 2 MFULULIXO KABLA YA KULALA ANGALIEN SALIO

MKIAAMKA SAA ANGALIEN SAANNE AMA TANO IMEBAKI SH NGAPI...........

NA WANAKATA HELA NDOGO TU
50...100. 😆 😂 😆 😂 😆...
 
Hapo hawajakuibia. Ulijiunga pasipo kujua au mtu alitumia simu yako akajiunga
 
Wanaunga kusudi. Walikiri hilo baada ya kuwapigia. Ila niliwaambia kuwa kama ni huduma basi waiweke ktk orodha ili nichague na nikatwe pesa nikiwa timamu nikifuatisha menu kuliko kuviziana namna hiyo.
Mkuu ukiona umeunganishwa hata kwa charge ya Tshs 100, ujue VODACOM hapo wamesha kwapua karibia Bilioni moja.
VODACOM inawateja zaidi ya milioni 10, ukifanya mahesabu 100X10,000,000=1,000,000,000/=.(billioni moja)

Huo ndio wizi mkubwa wa VODACOM.
TCRA wanajidai hawaoni wala hawasikii maana wanapelekewa vifurushi vyao ofisini.
 
Nilipata bahati ya kuoneshwa matumizi ya laini yangu na Vodacom, hizi huduma tunajiunga wenyewe, mimi mpaka ushaidi nilionywesha maana hapo awali nilikuwa najua ni wizi tu kama wewe
Hivi unaamini mtu mzima aliyejiunga JamiiForums since 2014 anaweza akajiunga kwa hela yake kusikiliza hadithi inayoitwa “BABA NISAMEHE”?Kukuonyesha ushahidi haikufanyi kuwa ni wewe ulijiunga kumbuka wanatumia system na system huamrishwa na walio ndani ifanye kipi na ukiuliza wanakujibu juu juu huku wakiijua michezo yao.

OK tuseme alijiunga,kwanini kila mtu hapa awalalamikie hao vodacom kwa kesi moja hii hii ya kutuunganishia wateja huduma tusizozitaka?wamekuja na mtindo mpya kugawa namba zetu kwa kampuni za betting,store za nguo etc simu yangu siku haiishi sijapata ujumbe kutoka “LCWAKIKI” na “AWALHOME” ni kwa ridhaa ya nani mpaka nisumbuliwe na text za huduma nisizozihitaji?
 
Back
Top Bottom