Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #41
Rais wa Switzerland alikuja kwenye safari binafsi ambayo sio ya kiserikali. Alikuja kutalii na kupumzika
Sidhani kama Rais wa Switzeland angethubutu kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje Pompeo wa Marekani kavaa raba na khaki pants. Atasimamishwa mapokezi ataambiwa Waziri kabadili schedule ya kukutana na wewe. Sijui kwa nini Mwafrika huwa hajui kujithamini. Nyerere alikuwa anawarudishia mlangoni hawa shenz type hizi.