Wizara ya Sanaa na Michezo iboreshe "customer care" kwa "world class celebrities" wanaoitangaza vyema Tanzania yetu

Wote mpo sawa mkuu sema mnaongea katika angle tofauti. Unachokisema ni kweli maana kwa Tanzania ,utalii wetu haujaegemea kwa idadi ya watu bali quality yao na ndio maana unaweza kuona kuwa tunapokea wageni wachache lakini mapato ni makubwa. Kingine ni kweli pia Tz ni moja Kati ya tourism spot ambazo zinatembelewa na watu wakubwa duniani hasa wale wanaohitaji privacy hivyo, kufanya kinyume na unayoyasema ni sawa na kuwafukuza.

Jamaa yupo sawa kwa maana watu wakubwa wanabidi wapewe special care ili watutangaze yaani hata Kama Sio kwa social media bhasi iwe hata kwa word of mouth ambayo ni more effective kutokana na nature ya wateja ambao tunawataka.
Thanks brother
 
Kwa kweli maboresho makubwa zaidi na kujitangaza kunahitajika sana
Kama unaingia Heathrow Airport tu zamani kwenye roundabout kulikuwa na dege moja la matangazo la BA lakini Emirates wakapanda dau kuliweka lao guess what wamelipamba sio kwa kitu kingine Bali wanyama wetu kama Simba, Tembo, faru na chui kwa kupata Soko la wanaokuja Africa.

Sasa hapo na sisi tunatangaziwa biashara kiaina ingawa wao wanapata wasafiri.
Naomba siku moja na dege letu litue Heathrow wala sio ndoto Bali linawezekana na kuleta watalii moja kwa moja mpaka KIA

Celebrities wana impact kubwa sana kwenye sekta ya Utalii na kama wakitumiwa vizuri wanaweza kuwa mabalozi wazuri tu.

Mleta mada nimekuelewa vizuri sana.
 
Kwa kweli maboresho makubwa zaidi na kujitangaza kunahitajika sana
Kama unaingia Heathrow Airport tu zamani kwenye roundabout kulikuwa na dege moja la matangazo la BA lakini Emirates wakapanda dau kuliweka lao guess what wamelipamba sio kwa kitu kingine Bali wanyama wetu kama Simba, Tembo, faru na chui kwa kupata Soko la wanaokuja Africa

Sasa hapo na sisi tunatangaziwa biashara kiaina ingawa wao wanapata wasafiri
Naomba siku moja na dege letu litue Heathrow wala sio ndoto Bali linawezekana na kuleta watalii moja kwa moja mpaka KIA

Celebrities wana impact kubwa sana kwenye sekta ya Utalii na kama wakitumiwa vizuri wanaweza kuwa mabalozi wazuri tu

Mleta mada nimekuelewa vizuri sana
Asante sana kaka. Be blessed
 
DeJong
IMG_20190618_202609.jpeg
 
Juliana Shonza huyu anayejibu watu kunya hapa JF kweli anajua maana ya customer care?
 
Unauliza kabisa kwa nini hatuoneshi appreciation za wao kuja kutembelea hapa.

Kwani hujui awamu hii sifa zote kachukua nani.



Cc: mahondaw
 
Nimesema hivi: Siyo kila anayekuja anataka uwepo wake ujulikane. Watu maarufu hutalii sehemu mbali mbali duniani na mara nyingine hufanya ziara za binafsi. Nikukutajia watu maarufu ambao wametalii Kenya mwaka jana bila watu kutangaziwa utashangaa. Pia Tanzania huwa wanatalii lakini mara nyingi hawataki watangazwe. Unacho-suggest wewe kitaleta matokeo kinyume.
Mbona una negativity sana? Kwani ni wote hawati publicity? Lakini mfano Rais wa TFF akiomba kuonana na Mchezaji maarufu faragha ampe ushauri na uzoefu wake kuinua tasnia hapo kuna publicity yoyote? Watu mnapenda kuwa negative all the time hadi hovyo
 
ni suala ya wizara kujua umuhimu na uzito wa wageni wenyewe na kutuma mwakilishi, anyway mlioko close na waziri husika mfikishieni hili.
 
Celebrities wanaokuja likizo hupendelea privacy kwenye mambo yao. Kuwatangaza inweza kuwa kero kwao na hatutapata wengine. Huwezi kuamini moja ya sababu kuja kwao ni hiyo privacy.
 
Ni wazo zuri, waziri unapopata fursa ya kuwapokea hawa maceleb inasaidia kutangaza na mbuga zetu nyngine ambazo hazitembelewi sana na watalii kama mikumi ,ruwaha nk. Hata wasipopiga picha pamoja lakini wanaweza kuongea na kuzinadi mbuga nyinge .
 
Kwanza badala ya kubishana jieleze vizuri. Ukizungumzia ''customer care'' una maana ya huduma wanazopata. eg hotel nzuri na huduma bora. Kutembelewa na viongozi siyo big deal na usifikiri kila mtu anapenda kuonana na viongozi kama unavyofikiri. Anyways, ngoja niachane na wewe kwa sababu naona upeo wako kwenye haya mambo siyo mzuri.
Pia kuweka picha kwenye social media wengi wanaotaka privacy huweka baada ya kumaliza tukio. Hii hoja ya jamaa kuwaona kwenye social media asifikiri ndio kuwa wako public.
 
Pia kuweka picha kwenye social media wengi wanaotaka privacy huweka baada ya kumaliza tukio. Hii hoja ya jamaa kuwaona kwenye social media asifikiri ndio kuwa wako public.
Acheni kukwepa majukumu. Lazima mkubali kuna uzembe unafanyika hapo. Kuomba kuongea na mtu sio lazima uweke picha social media instantly. Boresheni courtesy kwa world class celebrities. Acheni kutetea upuuzi
 
Acheni kukwepa majukumu. Lazima mkubali kuna uzembe unafanyika hapo. Kuomba kuongea na mtu sio lazima uweke picha social media instantly. Boresheni courtesy kwa world class celebrities. Acheni kutetea upuuzi
Acha na wewe kuleta strategy za kipuuzi kisa unajiona uko bold. Kubali constructive criticism kama mzalendo wa kweli na si wa nyuma ya keyboard.
 
Chini Dr. Mahiga akiwa na Rais wa Switzerland

2118350_IMG_20190722_184817_748.jpg


Sidhani kama Rais wa Switzeland angethubutu kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje Pompeo wa Marekani kavaa raba na khaki pants. Atasimamishwa mapokezi ataambiwa Waziri kabadili schedule ya kukutana na wewe. Sijui kwa nini Mwafrika huwa hajui kujithamini. Nyerere alikuwa anawarudishia mlangoni hawa shenz type hizi.
 
Back
Top Bottom