Usijali Mkuu! Wanaendelea kutajana...! Mwisho wataturejeshea li nchi letu tuhangaike nalo.Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kwelinaomba kutoa hoja..
Kuna askari hapa ananiambia hata printer hazina cartridge hivyo hata kuprint hawaprinti labda doc mhimu sana...
Haki!? unazungumzia nchi hii...hapo tutapigwa blah blah na kamwe hawatakubari kuwa gari la kubebea wafungwa halikuwa na mafuta...Kuna uwezekano wa watuhumiwa hao kufungua kesi kuishitaki serikali kwa kuwanyima haki ya kusikilizwa kwa uzembe wa serikali ?
Usijali Mkuu! Wanaendelea kutajana...! Mwisho wataturejeshea li nchi letu tuhangaike nalo.
Pumbaaa
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...
Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kweli
naomba kutoa hoja..
Achana na cartridge, karatasi nazo ni mgogoro!Kuna askari hapa ananiambia hata printer hazina cartridge hivyo hata kuprint hawaprinti labda doc mhimu sana...
sio kifedha tu hadi kimipango na utimizaji wake...Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kwelinaomba kutoa hoja..