wizara ya mambo ya ndani imeanza kuita watu,mimi nimeitwa kwa nafasi ya refugee registration clerk?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
wakuu mkae karibu na simu zenu,mimi hao jamaa wameniita kwenye usaili wa nafasi ya refuee reg clerk.halafu naomba kwa anaejua wanauliza maswali gani anisaidie jamani.
 
usaili unafanyika wapi na muda gani?
 
Hizo kazi wewe unakua karani unachapa barua, una issue vibali vya wakimbizi kutoka nje ya kambi, jua Refugee Act ya Tanzania, RSD(refugee status determination) procedures etc etc nadhani hizi kazi ni kwa kambi za kibondo ebana huko kuna tope na vumbi balaaa na hakuna lami, hahahaha
 
wakuu mkae karibu na simu zenu,mimi hao jamaa wameniita kwenye usaili wa nafasi ya refuee reg clerk.halafu naomba kwa anaejua wanauliza maswali gani anisaidie jamani.

Kumbe perry Ujanja wote humu huna kazi na wenzio tukiuliza humu jamani Bandari wameita huwa unatujibu ndo tuko kwenye mchakato tutawaita soon kumbe huna kazi.
 
Ha ha haaa!, uswahilini mtu mwenye tabia kama hiyo tunamuita "Masikini Jeuri"
 
wakuu mkae karibu na simu zenu,mimi hao jamaa wameniita kwenye usaili wa nafasi ya refuee reg clerk.halafu naomba kwa anaejua wanauliza maswali gani anisaidie jamani.

Kumbe perry Ujanja wote humu huna kazi na wenzio tukiuliza humu jamani Bandari wameita huwa unatujibu ndo tuko kwenye mchakato tutawaita soon kumbe huna kazi.

Hahahahah..
 
Ina maana hiyo post umeitwa mwenyewe tu perry,mbona sioni wadau wengne wakisema kama nao wameitwa?
 
wakuu mkae karibu na simu zenu,mimi hao jamaa wameniita kwenye usaili wa nafasi ya refuee reg clerk.halafu naomba kwa anaejua wanauliza maswali gani anisaidie jamani.
Hujapata tuuu maskini poyeeee....

Udsm imekutupa walahi!!! Nilijua nyie mkihitimu tu mnafatwa getini kumbe mnasota hivi?
 
Back
Top Bottom