Wizara ya elimu yaja na viwango vipya vya ufaulu kidato cha Nne.

DIV. 1= 7-13
DIV. 2=14-18
DIV. 3=19-22
DIV. 4=23-27
DIV. 0=28-35

HIYO NI KWA MUJIBU WA WAZIRI WA ELIMU LEO JOYCE NDALICHAKO.

AMESEMA ITAANZA KUTUMIKA MWAKA 2018 KWA FORM TWO NA FORM FOUR .
Haina tija
 
Nimeunga mkono haya madaraja hasa div 1 maana zamani unakuta mtu hana A somo lolote ila ana div 1.

Viwango vipya kama huna A hata somo moja hupati A hahahahah nimeipenda sana.Yani average student waliokuwa wanapata B walikuwa div 1??????

Safi sana hii kitu
 
Mmmh 14 ni 2??
Ila hiz badili badili zitakuja sumbua baadae. Mtu alisoma wakati 1 inaishia 17 anataka ajiendeleze chuo na watu 1 inaishia 13.

Viongoz wetu hawawazi hatua 10 mbele
 
Huu mchezo mtamu sasa huku wananyolewa viduku, huku wanapasuliwa min skirt na vimodo vyao alafu kule divisions. Hapa anatafutwa mchawi na waliozoe kukariri series za sinema wamekwisha
 
Ndalichako yule mama niliwahi kuuona ugumu wake alipoingia ukatibu mkuu NECTA. Alipopewa uwaziri wa wizara ya elimu, nilimuwekea alama ya kuuliza maana ana balaa
 
Wale wenye 4 za 28 itakuka kwenu

Hqlafu wameona 14 wakiwa div 1 watafaiiiidi eeeh

.anyway

All the best
Kwa elimu ya Siku hizi div 1 ilitakiwa iwe kuanzia 1-12,japo mm sikuwahi pata hata 14,hata A level wabadili yaani mtu anapoint 9 eti div one,inatakiwa ikomee point 6
 
Hebu Ndalichako atuonyeshe ufaulu wake wakati akiwa Mwanafunzi asifanye watoto wetu wakawa mitaani wengi vipi watoto wake walikua na ufaulu gani tunataka kujua ?
 
huyu waziri amekaa kibarazabaraza, changamoto halisi anzikimbia, ndo maana hata huko mashuleni ni drilli ya maswali tu mwanzo mwisho
 
Div 4 ya point 30, alikuwa mwalimu wa upe miaka ya 1970.
Wee hicho kichwa kina moja from o hadi A level,kina PhD ya mathematics tena ya first class, alipewa ufadhili kusoma Canada na serikali
Hii ni kwa hisani ya Maelezo yake mwenyewe wakati anahojiwa
 
DIV. 1= 7-13
DIV. 2=14-18
DIV. 3=19-22
DIV. 4=23-27
DIV. 0=28-35

HIYO NI KWA MUJIBU WA WAZIRI WA ELIMU LEO JOYCE NDALICHAKO.

AMESEMA ITAANZA KUTUMIKA MWAKA 2018 KWA FORM TWO NA FORM FOUR .
DIV 4=23-27
DIV o=28-35
Sijaelewa hapo
 
Back
Top Bottom