Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Si ndiyo wanataka hivyo,au ampeleke Kurasini,Uhamiaji.Hapo ni uhuru kama wate,vitoto unavikuta vinazurura tu mtaaniAkivuta bangi usishangae, saa 8 atamkuta nani nyumbani

Hawajakosea, sheria za shule hiyo Ndivyo zilivyo na lazima ziheshimike! Shule ni utaratibu na lazima ufuatwe!Hapo walikosea jaman