Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

mavideo yenu majumban
mnawaacha watoto wanaona hadi minyanduano.
na hao watt kwa uzembe wenu wazaz wengi wao washalalana tyr,
aidha hata kw kujifunza toka kwa wazaz wenyewe.
Mwl hajafany kosa lolote hapo.
swala la mziki lipo kwenye syllubus
na ni sehem ya somo.
tukumbuke mzik au kucheza kwa sasa ni burudan,
mazoez,
ajira.
ni pesa
mwl kucheza mziki namna hiyo
kaharibu nini kama sio mitazamo yenu mibovu tu.
binafsi nampongeza mwl kwa kujua kucheza vzr,
pia kuwapenda watoto na kuwa krb nao.
watoto watampenda mwl,
watapenda shule,
watafany vzr.
hayo mawazo mengine ya kingono bakini nayo wenyewe,
mwisho mnapenda sana kuwakosoa walimu
wkt mkiachiw kuwafundish watt
n mimba tu mtasambaza.
Sa huyo mwalimu anachezaje mziki jamani, na wewe unachezaga hivyo?
 
Sio afungiwe ashauriwe tu awe na kiasi.

Pia historia ya huyo mwalimu ifuatiliwe hasa tabia zake baada ya kazi. Mienendo yake ichunguzwe maana ni nadra sana kijana wa kiume aliye lijari kukata mauno kitaalam namna hiyo.

Tusimhukumu kabla ya uchunguzi.

Kwenye muziki sawa, ndombolo au sebene sawa watanzania hatujui sanaa, hana kosa huyo sisi wote iwe mtakuja au kwa mpalange viuno ndio msingi acheni unafiki, Kama hamjui viuno kwa mwanaume haachwi na demu never kikubwa shoo kali na wazungu wa kutosha, kila mauno msidhani ni Utopolo, stamina ya pumping indicator mojawapo ya wazi ni mauno kwa mwanaume.
 
Jana nilicheka nikakumbuka na Leo ikabidi nije Tena..dah ..kwakweli tukasome..alinichosha zaidi alipogeukia ubaoni😆😆😆🤣🤣🤣🤣
Mi ndo nimeiona saa hii basi imenivunja mbavu kwa kweli. 🤣🤣

Nadhani alipogeukia pale ubaoni kuna kahisia fulani alikapata bana mana kama uno ndo lilizidi kasi vile. 🙈 Hahahaaaaa. Lol.
 
Back
Top Bottom