Daaah. ......Too sad aisee. ....mimi ninawatia nguvu ndugu zangu msikate tamaa....
******************************
Hili suala la "Mikopo ya elimu ya juu " limewafanya wazazi /walezi wengi sana kubweteka na kusahau wajibu wao, wapo ambao japo wanamaisha ya kawaida lakini wanaweza kujipanga na kuwasomesha vijana wao bila kutegemea mikopo hiyo. ..ila kwasababu ya hizi kasumba za "Mikopo ya elimu ya juu " zinawafanya wazazi wengi kuwa reluctant na kusubiri vijana wamalize elimu ya sekondari (kidato cha sita) then waombe mkopo huo....Muda umefika sasa tubadili mtazamo japo ninaamini wapo ambao hawana namna nyingine tofauti ya kujikwamua kielimu ya juu zaidi ya kuomba na kusubiri mkopo huo ila wengi wa wazazi/walezi wakiamua kujipanga hata miaka miwili kabla kwakuweka akiba na mipango fulani basi wataweza kuwalipia vijana wao gharama zote za chuo na kuwafanya wasiwe na msongo wa mawazo wakiwa masomoni*******Ni mtazamo tu