PostGE2025 Wizara ya Afya imefuta post ya kukanusha video ya Mwananyamala

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Samia hasipo jiuzulu, kuna vita vya kutumia silaha vinakuja baina ya wananchi na serikali…nchi ipo hatarini, wao wameshupaza shingo
Tuombe nchi isije geuzwa kuwa ya vikundi vya waasi & magaidi
 
Sasa itakuaje kama kila kitu kwao ni fake
Hawana aibu hawa watu, hivi kweli 2025 afsa mzima wa polisi unakuja hadharani kusema video ya matukio ya 29 Oct ni AI?

Hiyo si matusi kwa wahanga?

Haya tupo tunachukua notes.
 
Samia hasipo jiuzulu, kuna vita vya kutumia silaha vinakuja baina ya wananchi na serikali…nchi ipo hatarini, wao wameshupaza shingo
Yaani sijui nataka kusema nini ila muda ni ukuta
 
Ndugu yetu Samia . Kila mtu anajua kuwa wewe ndiyo chanzo cha nchi kukosa Amani . Utulivu na Yaharuki . Kwanini Usiondoke ? Watu hawakutaki nendaaa. Utaendelea kuua mpaka lini ? Kwann unajitafutia dhambi ? Kama utajiri umeshaupata . Tuachie nchi Mama. hali mbaya SANA
Tatizo la nchi hii sio Samia Suluhu Hassan ni mifumo ya uongozi.
Kabla Samia hajawa Rais watu walishanza kutoweka. So kila siku hali itarndelea kuwa mbaya kwa mifumo hii.
 
Wizara inakunasha kuwa picha hii ni ya upotoshaji

Kwa maneno mengine unakiri kwamba ni ya uhalisia

Aliyetumwa kutoa statement hajui Kiswahili, na kichwani hamnazo. Sijui ni karani wa darasa la saba ??
 
Back
Top Bottom