Hakukuwa na namna Mkuu; ujumbe uliotakiwa kufika ungefikaje bila approach hiyo? Nadhani lengo lilikuwa "kutoa fundisho" kwa wengine wenye tabia kama hiyo.hivi kulikuwa na haja ya kuvichoma kikatili mbele ya kamera!!!!
Kweli mkuu mbona ushoga na ugawaji wa vilainishi wamekataaAkili za kuambiwa, mchanganye na zenu nyie wizara.
Wazungu wakitunga Sharia MLE MAVI MTAKULA?
kuna Ssheria ngapi za kimataifa mmezivunja. Mnakuja kutekeleza ya kuvichoma vifaranga moto.
WIZARA MZIGO.
Wizara ya mifugo na uvuvi imetetea uamuzi wa kuchoma vifaranga kwani ni utaratibu unaotambulika kimataifa na kwa mujibu wa sheria namba 17 wa sheria ya wanyama ya mwaka 2003 imechukua uamuzi huo wa kuteketeza vifaranga hivyo 6400 ili kuepusha kusambaza mafua ya ndege.
Kuhusu kuwapima, amesema hawawezi kupima vifaranga ambavyo tangu awali walishatoa katazo visiingie nchini.
Picha zipo kwenye utube tayari nyie ndiyo mnakurupuka, hapo ni sawa na kuwaambia watu nendeni kwenye utube muone tunavyochoma vifaranga kutoka KenyaSerikali imeonya wanaosambaza picha za vifaranga kuchomwa moto na kusema hazifai kusambazwa kwani kitu hicho walikifanya sehemu ya siri ila ikatokea watu wasio waaminifu wakapiga picha na kuzisambaza
Akihojiwa na Azam Tv katibu mkuu wa wizara upande wa mifugo Dk. Maria Mashigo alisema wamevichoma moto kwa kuwa vingeweza kueneza magonjwa
Alipohojiwa kuwa wana ushahidi kuwa vina magonjwa kabla ya kuchoma moto alijibu hawakuwa na na haja ya kufanya hivyo
Hapa kama ni kweli kwa kweli wamebugi, wangevirudisha huko huko.Serikali imeonya wanaosambaza picha za vifaranga kuchomwa moto na kusema hazifai kusambazwa kwani kitu hicho walikifanya sehemu ya siri ila ikatokea watu wasio waaminifu wakapiga picha na kuzisambaza
Akihojiwa na Azam Tv katibu mkuu wa wizara upande wa mifugo Dk. Maria Mashigo alisema wamevichoma moto kwa kuwa vingeweza kueneza magonjwa
Alipohojiwa kuwa wana ushahidi kuwa vina magonjwa kabla ya kuchoma moto alijibu hawakuwa na na haja ya kufanya hivyo