Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha

Wenzenu wameshajua ujinga wenu na wao wamebeba ng'ombe
 
Attachments

  • tapatalk_1509600691222.jpeg
    tapatalk_1509600691222.jpeg
    99.3 KB · Views: 20
Wizara iko sahihi ,Kuhusu bidhaa zisizo na ubora kama zimethibitika na mamlaka husika zinapigwa chini, mbona tunachoma vifaa fake vingi kutoka nje? ni mara ngapi vitu vimepatikana airport au bandari tena macontainer yanakamatwa na yanachomwa moto? je huwa tuna ugomvi na hizo nchi ambazo watanzania wamenunua bidhaa hizo? tatizo tumekubali kujenga undugu usio na tija na nchi jirani hivyo kupelekea kushindwa kusema hapana hata kwa mambo yasio na msingi, tukipata chickenpox ndo tutajua ni kwa nini serikali inakataza hao vifaranga.

Kikubwa ambacho kitaleta stability kati yetu na nchi zote za jirani, ni serikali ya Tanzania kuanza kutenga maeneo maalum kwa ajiri ya kuchungia mifugo hasa kwa wananchi wanaoishi maeno ya mipakani au karibu na mipakani.
We hata hujaelewa kinacholalamikiwa hapa! Issue si kuchoma bidhaa haramu,issue ni kuchoma moto viumbe vilivyo hai!wangetafuta njia nyingine ya kuviondosha badala ya njia hiyo ya kikatili kwa viumbe hai! Mbona wahamiaji haramu hatuwateketezi kwa moto wakati pia wanaweza kuwa na madhara kuliko hata hao vifaranga? [HASHTAG]#humanFace[/HASHTAG]
 
Kwanini havikupimwa kujua kama vinaugonjwa ?.mbona ng"ombe wale waliokamatwa toka kenya kwenye misitu yetu hawakuteketezwa ?
Mbona. Wamepigwa mnada ?
Au huyu mfanyabiashara yule ni mwanachama wa chama cha upinzani...!!!?

Mkuu ipo sababu ya kuteketeza wale Viumbe ikiwa ni pamoja na kumtia Umasikini yule Binti , na sio sababu hii wanayo kuja nayo kwenye Vyombo vya Habari.Ila me niwaambie tu ,hakuna kitu kitafanywa na Binadamu kiache kuwa na Matokeo (mabaya au mazuri)..Mungu anawaona ..
 
Hakukuwa na namna Mkuu; ujumbe uliotakiwa kufika ungefikaje bila approach hiyo? Nadhani lengo lilikuwa "kutoa fundisho" kwa wengine wenye tabia kama hiyo.

Sheria ya 2003, hii ni 2017 je bado kuna mafua ya Ndege???
 
Wanapotoa majibu mepesi ya kuepuka usambazwaji wa magonjwa . waje waeleze juu ya yale makundi ya ng'ombe wa nchi jirani na mikoa Mara, wilaya ya ngara na Arusha ambao mifugo yao imekuwa ikikamatwa kila siku kama nayo inaangamizwa kwa moto? Huu ni ukatili uliopindukia dhidi ya wanyama hasa ukizingatia kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka idara ya mifugo Kenya au nchi nyingine za ukanda wa east africa juu ya mlipuko wa magonjwa ya wanyama na ndege
 
Hivi justification ya kila kitu lazima tufanye reference ulaya yaani sisi hatuwezi kufanya kitu ili na wao huko ulaya watuige mbona tunakuwa watumwa kiasi hicho mbona ushoga sisi tumeukataa na huko ulaya wanaukubali, viongozi wetu wanapaswa kubadili fikra

Nirejee kwenye mada Katibu anasema hata huko ulaya huwa wanawachoma je huwa wanawachoma baada ya nini? Bidhaa yoyote au mnyama huangamizwa baada ya kujiridhisha pasi na shaka kuwa kuna madhara aidha havifai kwa matumizi ya binadamu au ugonjwa

Sasa angekuwa muungwana kama angeonyesha majibu ya sample ya hao vifaranga kuwa kweli wamegundulika wana ugonjwa wa mafua ya ndege au ugonjwa mwingine wowote ili kuhalalisha uangamizwaji wake lkn yeye kasema hawakuwa na haja ya kuwapima kwa sababu tu taratibu za kuwaingiza nchini hazikufuatwa means hawakuwa na ugonjwa ila inshu ni taratibu hoja inabaki palepale wangewarudisha sio kuwachoma

Kama wangekuwa na ugonjwa ina maana huo ugonjwa upo Kenya hatua gani sasa Tanzania imechukua ili kukabiliana na ugonjwa huo kama upo?
 
Hivi justification ya kila kitu lazima tufanye reference ulaya yaani sisi hatuwezi kufanya kitu ili nma hawakuwa na haja ya kuwapima
Kama imechukua ili kukabiliana na ugonjwa huo kama upo?

Acha kuandika faeces wewe....
Sheria imechukua mkondo wake...
Chomaaaa.... Chomaaaa safiiiiii iwe fundisho kwa wengineee
 
Akili za kuambiwa, mchanganye na zenu nyie wizara.

Wazungu wakitunga Sharia MLE MAVI MTAKULA?

kuna Ssheria ngapi za kimataifa mmezivunja. Mnakuja kutekeleza ya kuvichoma vifaranga moto.
WIZARA MZIGO.
Nawaza kama bidhaa kutoka ndani ya EU (mfano Uholanzi kwenda Ujerumani) inaweza kuchomwa.
Nawaza hivyo kwa sababu zile nchi kama Umoja wa Ulaya zina viwango (standards) za bidhaa zao na katika uzalishaji wa aina yoyote ni lazima zicomply na hayo matakwa.
Sasa inakuwaje sisi kama EAC tena wale key members (Uganda, Kenya na Tanzania) hatujawa na standards hata za livestock wakati wahaya, wajaluo, wamasai na tembo wa Mkomazi wanashare malisho na maisha kila uchao!
 
Wizara iko sahihi ,Kuhusu bidhaa zisizo na ubora kama zimethibitika na mamlaka husika zinapigwa chini, mbona tunachoma vifaa fake vingi kutoka nje? ni mara ngapi vitu vimepatikana airport au bandari tena macontainer yanakamatwa na yanachomwa moto? je huwa tuna ugomvi na hizo nchi ambazo watanzania wamenunua bidhaa hizo? tatizo tumekubali kujenga undugu usio na tija na nchi jirani hivyo kupelekea kushindwa kusema hapana hata kwa mambo yasio na msingi, tukipata chickenpox ndo tutajua ni kwa nini serikali inakataza hao vifaranga.

Kikubwa ambacho kitaleta stability kati yetu na nchi zote za jirani, ni serikali ya Tanzania kuanza kutenga maeneo maalum kwa ajiri ya kuchungia mifugo hasa kwa wananchi wanaoishi maeno ya mipakani au karibu na mipakani.

Unapoandika uwe na uhakika kuwa unaelewa unachoandika! Wzara ipo sahihi kuchoma vifaranga ambavyo hawana uhakika kuwa vina ugonjwa, ndo usahihi huo?? Acha kutumia pua kufikiria!!!
 
Sasa inakuwaje sisi kama EAC tena wale key members (Uganda, Kenya na Tanzania) hatujawa na standards hata za livestock wakati wahaya, wajaluo, wamasai na tembo wa Mkomazi wanashare malisho na maisha kila uchao!

Nani amekuambia hakuna Standards.
Acha kuandika faeces wewe....
Kila nchi ina sheria na taratibu zake...
Mbona hulalamiki kuwa kwanini USA inakubali Citizenship ya nchi mbili, wakati Tanzania haikubali...
Tumechomaaaaa... Safiiiiii
 
Back
Top Bottom