Ikiitwa TVT enzi hzo!!!!.....Ulijitokeza Wivu wa Kijinga wa kuona ITV ina Watazamaji wengi....Serikali ikastopisha
Tamthiliya ya THE PASSION kulinda tamaduni ya Mtanzania..kiukweli THE PASSION haikuwa na picha chafu kiasi hicho...
Baada ya ITV kustopisha matangazo ya SERIES hyo ITV wakazama CHIMBO wakaja na La MUJER..wao TVT wakaiga wakaja na Series yao ilikuwa na UCHAFU LIVE njenje Denda Million 8....Ahhh Fresh ikawa kawaida mtu kunyonywa mate ruksa...
ITV wakaendelea na mambo yao! sitaki kugusia mgogoro wa Ze comedy ambao mpaka leo CHANNEL 5 ndio wanaonekana wapo juu(CREATIVITY za SEGMENT zao) utagundua hilo kama siMNAZI...Tukija ktk Mpira wa mguu ITV walikuwa wanatuletea matangazo mengi LIVE ya CHAMPIONS LEAGUE kupitia CFI na AFCON...TBC wakajitia kimbelembele kuhozi matangazo hayo na kuwabania ITV....kiukweli ukiangalia Tamthiliya zinazobamba ALLTIME ni za ITV....
BORA KUWA NA +ve WIVU na sio -ve WIVU Kama wa TBC...Au wadau nakosea ktk hili..No 1 is PERFECT..Unalionaje hili.
ITV is very creative,mambo mazuri yote yameanzia kwao na wengine kuiga.ie comedy,maigizo,bongo star seach,watoto,vipindi vya sanaa na burudani.kinachonifurahsh zaidi wanatwanga nyimbo zozote bila kujali ustaa , pesa au zilitnka lini..
Halafu wanachukua matangazo wanashndwa kumudu mfano ktendo cha kuatsha matangazo ya mpira kat ya tz na moroko ili 2one ujio wa rais xi jimping wa chna,kwa ufupi ni wakorofi
Ni lazima tufike mahali tukubar kwamba institution yoyote inayomilikiwa na government huwez kulinganisha private institution like Vodacom and TTCL, bas hvyohvyo Hata kwel hzo televisions mambo ni Yale Yale ....