wivu wa penzi

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
1,173
Points
1,500

Ginner

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
1,173 1,500
Jamaa m1
alikwenda shambani, akamuacha mkewe na ndugu
yake wa kiume.
Aliporudi akamckia ndugu yake na mkewe wakiongea:
Mke=haa!! Shemeji
Shemeji=haa nini?
Mke=kumbe na wewe huu mchezo unauweza???
Shemeji=unauweza vizuri,kumshinda mume wako
Mke=shemeji ramba
Mume akaingia na cpd zote ndani, na jembe mkononi
alipofika akawakuta wanacheza karata........
Mke=vp mume wngu mbona jembe umelishika
hivyo????
Mume=hamja muona nyoka,
 

Forum statistics

Threads 1,379,592
Members 525,451
Posts 33,749,960
Top