2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,696
Hasa mimi ndio kinara, sisikii siambiwi.Mkiambiwa kataeni ndoa hamsikii
"Baby naomba twende mirembe tukacheki afya ya akili" au twasemaje tunaomba mwongozo wako katibuMuwapimage hawa waume zenu akili kabla ya kuolewa nao.
Unagawa uroda nje, nilishawahi kua na Mwanamke muimba kwaya hakuna rangi niliacha kuiona sometimes haendi kwenye kwaya anaenda kwenye matukio yake anasingizia anaenda kwenye kwaya ogopaMuwapimage hawa waume zenu akili kabla ya kuolewa nao.
NAKAZIAKATAA NDOA
Ukiona mwanaume ana hisia za namna hii mara kwa mara ujue nguvu yake kwenye wajibu ni hafifu“Kipindi cha nyuma ugomvi wao ulikuwa ni kila mara mwanangu akienda kuimba kwaya, akirudi mumewe anadai anakwenda kwa wanaume wengine, sasa sijui hadi kufikia hapa walikosana nini maana mpaka sasa mwanangu hawezi kuongea.”
We unajua mbususu kaiwekea nn mjomba??? Haya mambo yaache tu kuzama kusikie mjomba unaweza ukawa unaenda vitani Congo kama chooni au bafuni ila wakikuchapia chozi linakutoka mjombaUnajinyonga mbususu zote hizo unamwachia nani!