Wivu wa mapenzi wasababisha kumkata mkewe koromeo, na kisha kujinyonga mpaka kufa

_20231123_192349.JPG
 
Muwapimage hawa waume zenu akili kabla ya kuolewa nao.
Unagawa uroda nje, nilishawahi kua na Mwanamke muimba kwaya hakuna rangi niliacha kuiona sometimes haendi kwenye kwaya anaenda kwenye matukio yake anasingizia anaenda kwenye kwaya ogopa
 
SI mnasema mpk kifo kiwatenganishe !! Tumeshawaambia ndoa ikiota mbawa Haina dawa zaidi ya talaka!
 
“Kipindi cha nyuma ugomvi wao ulikuwa ni kila mara mwanangu akienda kuimba kwaya, akirudi mumewe anadai anakwenda kwa wanaume wengine, sasa sijui hadi kufikia hapa walikosana nini maana mpaka sasa mwanangu hawezi kuongea.”
Ukiona mwanaume ana hisia za namna hii mara kwa mara ujue nguvu yake kwenye wajibu ni hafifu
 
Ila wanaume kuna muda tunafanyaga maamuzi ya kisenge Sana, Yaani umuue mwenzio na wewe mwenyewe eti kisa wivu wa mapenzi jamani 🤔
 
Asilimia kubwa ya waimba kwaya ni kisanga, inawezekana jamaa alikuwa hasikilizw kabisa kisa mwanamke anamtumikia bwana
 
Siyo wivu wa mapenzi.
Ni mawazo ya yule mwanamke yanavyoharibu concentration ya mwanaume.
Mawazo kama,"Huyu bwege ataondoka saa ngapi nyumbani,ili niende kuonana na mpenzi wangu?"
Mawazo kama ,"Huyu bwege sijapata kuona! Kwanza,nikifanya mapenzi na mtu mwingine huyu hawezi kufahamu"
Mawazo ya namna hii mwanamke akifikiria habitually, atamletea extreme mental torture mwanaume.
 
Back
Top Bottom