Wivu unapogonga mwamba

Wivu unapogonga mwamba

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
477
Mama mmoja alikuwa akihisi mumewe anatembea na hausigeli wao. Wikiendi moja bila mumewe kuwepo nyumbani wala kujua, huyo dada akamwambia mfanyakazi aende kwao siku mbili mapumziko. Usiku yule mama akaingia chumbani kwa hausigeli akazima taa akalala. Mara mlango ukasukumwa akaingia mtu fasta fasta wakaanza kufanya ngono. Wamemaliza anamwambia , mume wangu hukudhania ungenikuta humu leo nimekukamata kumbe hausegeli huwa unampa mapenzi matamu namna hii kuliko mimi mkeo leo utanieleza vizuri .kisha akawasha taa akakuta ni mlinzi wao.
 
Mlinzi inabidi aendelee kupiga shoo kama kawa
 
Umeomba kazi umepata kazi usione kazi kufanya kazi ,ukitaka upate kazi acha kazi uone kazi kutafuta kazi
Natamani ningekua huyio mlinzi
 
Mama hata harufu ya mumewe haijui, kweli muhogo kitu kingine.
 
mama alikuwa anahamu ya kumegwa,hata harufu ya mmewe haijui
game la bila kusemeshana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom