wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,310
Hivi wanaume kama ninyi bado mpo?
naona pm yake itakuwa imejaa.Hivi wanaume kama ninyi bado mpo?
naona pm yake itakuwa imejaa.kazi kweli mkuuInasikitisha sana
Haki ya mungu pole kaka angu mungu atakup chaguo sahihi uyo sio wako sali sanaWadau wa JF jukwaa lililosheheni wajuvi wa mambo,
Niende kwenye mada,
Nina mpenzi wangu ambae hadi leo kaniacha ni miaka miwili na miezi sita sasa, tangu tufahamiane nilimpenda Bi dada huyu kwa mapenzi ya dhati, alikua akiishi kwao lakini nikamuwezesha kupanga chumba na kumfungulia biashara iliyokuwa na mtaji wa tsh 4.5m ili aweze kuendesha maisha yake na wanae alioachwa nao, niliweza kulipia chumba kwa mwaka.
Kila kodi ilipokwisha bili ya umeme na maji nilipia, chumba cha biashara pia kila kodi ilipokwisha nilihudumia, matibabu kwa mpenzi wangu na wanawe pale walipougua niliweza, kumpa fedha kwa ajili ya fanicha za ndani kwa kadiri ya mahitaji ya msingi bila kujali nilikua radhi kumgawia yeye nusu ya kipato changu ili akidhi mahitaji yake lakini wivu wangu kwake umeniponza.
Bidada huwa anapokasirika hachagui neno la kuniambia hata ikiwa yeye ndiye mkosaji anakasirika, hii inapelekea mimi kujishusha na kumuomba yeye radhi yaishe japo kosa ni la kwake, amekua hapendi kuulizwa maswali japo huwa namuuliza kwa upole na nia ni kulipa afya penzi letu, moja ya maswali yangu asiyo yapenda huwa napenda kila Mara kujua yuko wapi na anafanya nini nikiwa na wasiwasi nikitaka kujiridhisha hapo atanijibu kama huniamini achana na mimi mi najiamini na sio malaya, ni majibu ambayo ukweli huyatoa kwa ukali.
Hali ambayo imekua ikinisikitisha, kisa sasa cha kuachwa ni kodi ya nyumba imekwisha ya huu mwaka, nami hali yangu kiuchumi sio nzuri nikamuomba anivumilie nimtafutie lakini hakunielewa amepunguza mawasiliano kama ilivyokua kawaida yetu kupigiana simu Mara nne kwa siku kwani siishi nae huwa nikitaka kwenda kwake ni hadi nimpe taarifa.
Ndugu zake asilimia kubwa wananifahamu kuwa mi ndio namlea ndugu yao lakini Jana usiku nilimpigia simu baada ya kuwa nzima kupita bila mawasiliano nikiwa kuna mtu kanitonya kuwa bidada kakaa baa na mtu anakunywa bia mi kumpigia nikamsalimia nikamuuliza yuko wapi, akanidanganya nikakwambia vuka barabara tuonane akaniambia sawa, dk chache akanipigia mbona sikuoni nikakwambia sipo pale lakini kuna mtu akaniambia umekaa na mtu baa akaniuliza ninani sikumtaja akasema nikimjua atanitambua.
Kwani kukaa na mtu wa kiume ndio nikalale nae mimi najitambua nikakwambia naomba kukutana nawe, akaniambia kwa hasira hutanikuta wala sikuhitaji huna msaada kwangu wewe ukipigiwa simu na mtu unapaniki na kunihisi kama polisi, mimi sitaki huo ujinga na kama unadhani mimi ni malaya basi kuanzia leo futa namba yangu na usinitafute tena aniache na maisha yangu.Tangu nikuombe kodi umekuana visavisa kata mawasiliano na mimi.
Wana JF mimi sikumjibu lolote zaidi ya kusema asante, bidada nampenda sana uchumi wangu umeyumba lakini kwa maneno alionitamkia nimebaki njia panda biashara yake niliompa mtaji umekata.
Naomba ushauri wenu kwani nahisi kuchanganyikiwa jinsi nilivompenda lakini wivu wangu kwake umeniponza, nifanyeje wana JF nisaidie ushauri.
upo single?Kila siku nasema siku zote wenye mapenz ya dhati huishia maumivu mapenz ya dhati yanatoka moyoni mwaaliekuridhia huyo alikutamani kwa maslahi yake ila Mungu yupo atakusaidia mapenz ya dhati sio pesa karibu chama cha u single team
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana,nilitaka kujiridhisha before sijafika pm kwako. kwani dhambi?
Kifupi huyo ni malaya wa viwango vya standard gauge mkuuWadau wa JF jukwaa lililosheheni wajuvi wa mambo,
Niende kwenye mada,
Nina mpenzi wangu ambae hadi leo kaniacha ni miaka miwili na miezi sita sasa, tangu tufahamiane nilimpenda Bi dada huyu kwa mapenzi ya dhati, alikua akiishi kwao lakini nikamuwezesha kupanga chumba na kumfungulia biashara iliyokuwa na mtaji wa tsh 4.5m ili aweze kuendesha maisha yake na wanae alioachwa nao, niliweza kulipia chumba kwa mwaka.
Kila kodi ilipokwisha bili ya umeme na maji nilipia, chumba cha biashara pia kila kodi ilipokwisha nilihudumia, matibabu kwa mpenzi wangu na wanawe pale walipougua niliweza, kumpa fedha kwa ajili ya fanicha za ndani kwa kadiri ya mahitaji ya msingi bila kujali nilikua radhi kumgawia yeye nusu ya kipato changu ili akidhi mahitaji yake lakini wivu wangu kwake umeniponza.
Bidada huwa anapokasirika hachagui neno la kuniambia hata ikiwa yeye ndiye mkosaji anakasirika, hii inapelekea mimi kujishusha na kumuomba yeye radhi yaishe japo kosa ni la kwake, amekua hapendi kuulizwa maswali japo huwa namuuliza kwa upole na nia ni kulipa afya penzi letu, moja ya maswali yangu asiyo yapenda huwa napenda kila Mara kujua yuko wapi na anafanya nini nikiwa na wasiwasi nikitaka kujiridhisha hapo atanijibu kama huniamini achana na mimi mi najiamini na sio malaya, ni majibu ambayo ukweli huyatoa kwa ukali.
Hali ambayo imekua ikinisikitisha, kisa sasa cha kuachwa ni kodi ya nyumba imekwisha ya huu mwaka, nami hali yangu kiuchumi sio nzuri nikamuomba anivumilie nimtafutie lakini hakunielewa amepunguza mawasiliano kama ilivyokua kawaida yetu kupigiana simu Mara nne kwa siku kwani siishi nae huwa nikitaka kwenda kwake ni hadi nimpe taarifa.
Ndugu zake asilimia kubwa wananifahamu kuwa mi ndio namlea ndugu yao lakini Jana usiku nilimpigia simu baada ya kuwa nzima kupita bila mawasiliano nikiwa kuna mtu kanitonya kuwa bidada kakaa baa na mtu anakunywa bia mi kumpigia nikamsalimia nikamuuliza yuko wapi, akanidanganya nikakwambia vuka barabara tuonane akaniambia sawa, dk chache akanipigia mbona sikuoni nikakwambia sipo pale lakini kuna mtu akaniambia umekaa na mtu baa akaniuliza ninani sikumtaja akasema nikimjua atanitambua.
Kwani kukaa na mtu wa kiume ndio nikalale nae mimi najitambua nikakwambia naomba kukutana nawe, akaniambia kwa hasira hutanikuta wala sikuhitaji huna msaada kwangu wewe ukipigiwa simu na mtu unapaniki na kunihisi kama polisi, mimi sitaki huo ujinga na kama unadhani mimi ni malaya basi kuanzia leo futa namba yangu na usinitafute tena aniache na maisha yangu.Tangu nikuombe kodi umekuana visavisa kata mawasiliano na mimi.
Wana JF mimi sikumjibu lolote zaidi ya kusema asante, bidada nampenda sana uchumi wangu umeyumba lakini kwa maneno alionitamkia nimebaki njia panda biashara yake niliompa mtaji umekata.
Naomba ushauri wenu kwani nahisi kuchanganyikiwa jinsi nilivompenda lakini wivu wangu kwake umeniponza, nifanyeje wana JF nisaidie ushauri.
Hivi kweli Dada wanakumbukaga hawa maana hata mie mhanga.nilimpa kila kitu ila majibu ndo hayo kama ya mwenzangu.inauma sana
Hata kama amekaa miez sita kaka anaweza kurud tena kwl?Mkuu we kausha mwache aruke na huyo jamaa we kausha usimjibu mbovu..,nakuhakikishia lazima arudi mwenyew tena kwa Magoti na Vilio We kuwa mpole kwa kipindi hiki atakufata mwenyew tu