Wivu umeniponza

Wivu umeniponza

Duhh....
Mungu alikupa roho ngumu sana aiseee......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alafu unaweza kukuta ndugu zako wanateseka kwa matatizo wewe unahonga mamilioni kwa mwanamke aliyeachika? Ulidhani mwanaume mwenzio mjinga kummwaga?
Naunga mkono hoja
 
Nenda kabebe vitu vyako...ASAP !
Mida mingine inabidi tukumbushane nafasi zetu.
 
Move on brother, maisha yenyewe mafupi kwanini uendelee kumng'ang'ania mtu asiyejua kuna kukosa, fanya mishe zako bila yeye unaweza ishi na unaweza fanya mambo makubwa zaidi,

Kwann uumize kichwa kwa ajili ya mtu wakati maisha haya yanazingua kichwa hadi mtu unatamani uyakimbie.

Love is all what we need!
 
Ukitenda mema mungu anakaa upande wako usimjibu kitu chochoteee mwache nakuhakikiskia trh 30 /9/ 2017 atakuja kwa magoti na akija mwambie huna mapenzi nae tena.

Spendi mtu asiyethamini hisia za mtu. Atajuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom