Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
Wewe ndo huna Upendo Wa dhat [emoji27]Duu we jamaa una moyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo huna Upendo Wa dhat [emoji27]Duu we jamaa una moyo sana
Upendo ninao wa kutosha sana sema jamaa kwa upendo huo utaugua presha bure ukizingatia mtu ana watoto lkn jamaa kajitoa kumsaidia na kumfanyia kila kitu lkn bada mwanamke anamchukulia jamaa simple tu
Najua ni kwa jinc gani hili limekugusa kama mwanamke ni kama unaona huyo mwanamke anachezea bahati..
Kalogwa?kaka huna ndg wakuague utakua umelishwa li bataUna moyo,yani ushaambiwa ukate mawasliano na muhusika then we bado unajifanya kujifanya kupenda.
Ningemjua huyo mwanamke ningempa mbata kama mwanamke mwenzie wenzie tunaangaika kusali,kufunga,kuomba,Mungu atupe mume bora linampata yeye anachezea aiseeee Jamani Huyu mwanamke ni pepo bwana Mimi mwanaume anifungulie tu biashara aiseeee ata akitaka nimbebe mgongoni nambeba tu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji34] Mungu amlaani uyu DadaNajua ni kwa jinc gani hili limekugusa kama mwanamke ni kama unaona huyo mwanamke anachezea bahati..
Mhhhhh hahaaa itakua na wewe ni muhanga
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe nawewe ungemuachaMhhhhh hahaaa itakua na wewe ni muhanga