Wivu mbaya sana!

Wivu mbaya sana!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
3,831
Reaction score
637
Mia




wife.gif
 
Mke mbaya sana kaona alete soo ile kimwana aondoke !
 
haya mambo ni balaa hasa ukiwa na jimama kama lile.... wanashindwa tu kufanya ila huwa wanawaza hivyo asee..!
 
Hiyo poa kama janamligombana akashindwa kukupa kipondo. Dah, halafu linapiga fegi kwa kwendafowadi
 
Hahaha, mama ana akili kama mchwa! Manake binti angejua mama ndo kamvuta kipwinto pangechimbika, hapo dingi kapigwa cha mapenzi,lol
 
akili kichwani hapo...jamaa kapigwa kofi bila hata kosa.
kweli ilo mwanamke lina akili ya uchokozi
 
Ha ha haaaa!! Akome kuangalia wanawake wengine wakati yupo na mpenzi wake
 
Simple way to solve a Complicated problem. That's nice:lol:
 
attachment.php


Nimeipenda kwa kwenda mbele. Super mama kazima Mapinduzi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom